Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

Ndugu, Mwabukusi anaipinga Dpw nzima nzima au vipengele vya kidhalimu vilivyomo kwenye mkataba?
Anapinga baadhi ya vipengele vya Mkataba lakini Mahkama tayari imeshatoa maamuzi kama hamjaridhika na maamuzi ya Mahkama kateni Rufaa
 
Wezako wananyea MTONDOO wewe unaleta utani
Jibu swali,Serikali ipi aliyosema atapindua Dr Slaa?Kunyea mtondoo si ni matokeo ya kuyapa majambazi bunduki na uniform kisha yakalipwa mshahara,hata wewe yakiamua yanakukamata tu maana hayafuati sheria.
 
Kuna yule mama Nkya anajita ni mtetezi wa haki za Binadamu halafu ni mwanachama wa Chadema hamna jipya nyie .Nchi yeyote duniani inaongozwa na sheria na taratibu zake Huwezi fanya mambo ya kipuuz na Video recording zipo then vyombo vya ulinzi na usalama vikae kimya?
 
Jibu swali,Serikali ipi aliyosema atapindua Dr Slaa?Kunyea mtondoo si ni matokeo ya kuyapa majambazi bunduki na uniform kisha yakalipwa mshahara,hata wewe yakiamua yanakukamata tu maana hayafuati sheria.
Hayo masuala yenu mutaiuliza Mahkama wakati kesi itapoanza kusikilizwa
 
Hata kama alitamka lakini ni ukweli usiopingika kuwa watanzania tunataka mapinduzi.maana hatujawachagua isipokuwa wamerithishana madaraka.90%ya wtz wanataka mapinduzi
 
watu weusi tunashida sana..

Hoja zao juu ya mkataba wa dp world zijibiwe kwa hoja sio mabavu na mkono wa chuma. Nchi ni yetu wote, nia yao IPO clear kabisa ni kujaribu kulinda rasilimali za nchi.
sasa ndugui hata ungekuwa boya kiasi gani au uwe hunan akili kiasi gani kweli hapo wameongelea bandari? wao wameongelea kupindua nserilaki muwe mnasoma na kuelewa basi msikulupuke tu hao ni wahaini sasa ulitaka wajibiwe nini kuhusu kupindua serikali zaidi ya kukamatwa wakaeleze wametumwa na nani
 
Hata kama alitamka lakini ni ukweli usiopingika kuwa watanzania tunataka mapinduzi.maana hatujawachagua isipokuwa wamerithishana madaraka.90%ya wtz wanataka mapinduzi
hakuna mtu anataka mapinduzi ni wewe tu usiwasemee watanzania sema wewe unataka mapinduzi mbona mimi sitaki na umenisemea na mimi
 
Ccm chama changu huwa tunakosea sana!

Tulikuza ugaidi kwenye kesi ya Mbowe HADI jumuia ya kimataifa ikatangaza hali ya hatari TANZANIA!

Leo tunakuza uhaini ,je vyombo vya kijasusi vya kimataifa vikiamua ku spin kwa kutangaza HATARI KWA serikali kupinduliwa hali itakuaje!!?
 
Walio nyuma yao watakuwa ni hao hao akina Wambura.
 
Kwa mujibu wa Mahkama Mkataba ule ni Halali kabisa
Majudge wote wameshangaa IGA na mikataba midogo kutumia SHERIA za ndani lakini migogoro itatuliwe nje ya nchi😳😳😳

Mkataba wowote Uliona juu ya KATIBA yetu ni BATILI na FAKE!!

Tukutane Rufaa🙏🙏
 
Achana nao hao, wametunga maneno hakuna popote Dr Slaa ameongea hayo maneno.
Duh 🙄 basi hii Nchi inaenda ndivyo sivyo ! Yaani fake news kila kona ??!!

Siamini na siwezi kukataa pia maana mimi mwenyewe ni victim wa fake news niliyotengenezewa na watu wenye nguvu za pesa na kila kitu !! Ili tu niishi in humiliation !!
Ngoja tuone nguvu za Karma !!
 
Maneno mazito. !!
 
Kuna kesi iliwahi kuunguruma miaka ya mwanzoni mwa 90, maarufu kama KESI YA KUSIGINA KATIBA;
Mhusika alikuwa LEO LWEKAMWA.
Ilionekana ni kweli aliisigina Katiba kwa miguu yake, lakini kule mbele alikuja akatoa utetezi kuwa Katiba ilianguka yenyewe kwa bahati mbaya ikaangukia miguuni kwake. JAMAA ALISEVU. Possibly na hawa wanaweza ku-save kama livyowahi ku-save LEO LWEKAMWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…