1. Ilikuwaje mitume wote waliotangulia hawakushirikisha Majini kwenye mambo ya Ibada isipokuwa Mtume Muhammadi ?
2. Kwanini Majini hayana mtume wao wa Kijini ?
3. Kabla ya kusilimishwa na Mtume Muhammadi, Majini yalikuwa dini gani ?
4. Mtume Muhammadi alikuwa anakutana wapi na Majini hadi awahubirie dini na kuyasilimisha?
5. Unakuwa katika hali gani ukiambiwa kuwa Majini yanakuja kuswali katika misikiti na wanadamu ?
6. Wanaoswali msikitini ni watu wema na wabaya. Unauhakika gani kama Majini mabaya (siyataji) hayaji kutubu misikitini?
7. Hapo husikii hatari yoyote ?
Late reply but inshaallah nitajibu kwa kadiri nitakavyo afikishwa .
1. Unaposema "kushirikisha majini kwenye mambo ya ibada" unamaanisha nini? Clarify ukiweka angalau aya au hadith au riwaya .
2. Mitume woote wametokea kwenye kizazi cha adam (alayhi salaam) kwaninj imekuwa hivyo Allah( subhanna huwataala) ameamua iwe hivyo majini waislamu wao wakawa wanafuata mitume wa kibinadamu kwa miaka yote kama ilivyokuja kwenye aya hii hapa.
Al-An'am 6:130
يَٰمَعْشَرَ ٱلْجِنِّ وَٱلْإِنسِ أَلَمْ يَأْتِكُمْ رُسُلٌ مِّنكُمْ يَقُصُّونَ عَلَيْكُمْ ءَايَٰتِى وَيُنذِرُونَكُمْ لِقَآءَ يَوْمِكُمْ هَٰذَاۚ قَالُوا۟ شَهِدْنَا عَلَىٰٓ أَنفُسِنَاۖ وَغَرَّتْهُمُ ٱلْحَيَوٰةُ ٱلدُّنْيَا وَشَهِدُوا۟ عَلَىٰٓ أَنفُسِهِمْ أَنَّهُمْ كَانُوا۟ كَٰفِرِينَ
Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani
Enyi makundi ya majini na watu! Je, hawakukujieni Mitume kutokana na nyinyi wenyewe wakikubainishieni Aya zangu, na wakikuonyeni mkutano wa Siku yenu hii. Nao watasema: Tumeshuhudia juu ya nafsi zetu. Na yaliwadanganya maisha ya dunia. Nao watajishuhudia wenyewe ya kwamba walikuwa makafiri.
English - Tafsir Ibn Kathir (Abridged)
Ila cha kujua kwenye aya hiyo hapo mitume huwa wanatoka kwenye binadamu pekee unaweza kusoma kwa maelezo zaidi "tafsir ibn kaathir" au " tafsir asa'd" wameichambua vizuri sana .
3. Si kwamba kabla ya mtume muhammad (swalalah alyahi wasaalam) majini yoote walikuwa hayana dini hapana hii inapingwa na surat an'am aya ya 130 nikinukuu
Al-An'am 6:130
يَٰمَعْشَرَ ٱلْجِنِّ وَٱلْإِنسِ أَلَمْ يَأْتِكُمْ رُسُلٌ مِّنكُمْ يَقُصُّونَ عَلَيْكُمْ ءَايَٰتِى وَيُنذِرُونَكُمْ لِقَآءَ يَوْمِكُمْ هَٰذَاۚ قَالُوا۟ شَهِدْنَا عَلَىٰٓ أَنفُسِنَاۖ وَغَرَّتْهُمُ ٱلْحَيَوٰةُ ٱلدُّنْيَا وَشَهِدُوا۟ عَلَىٰٓ أَنفُسِهِمْ أَنَّهُمْ كَانُوا۟ كَٰفِرِينَ
Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani
Enyi makundi ya majini na watu! Je, hawakukujieni Mitume kutokana na nyinyi wenyewe wakikubainishieni Aya zangu, na wakikuonyeni mkutano wa Siku yenu hii. Nao watasema: Tumeshuhudia juu ya nafsi zetu. Na yaliwadanganya maisha ya dunia. Nao watajishuhudia wenyewe ya kwamba walikuwa makafiri.
Mwisho wa kunukuu.
Tujuavyo majini yalikuwapo kabla hata ya kuzaliwa mtume muhammad(swalallah alayhi wasaalam) na ndiyi maana Allah (subhana huwataala) akauliza kwamba hakuwatuma mitume kama waonyaji na wao kamjibu kama aya ilivyoeleza.
4. Kuna scenarios kama tatu hivi
a) . Surat jinn aya ya kwanza kabisa ni tukio ambalo lilitokea mtume muhammad (swalallah alayhi wasaalam) akiwa anatokea ta'aif na akaweka kambi kupumzika eneo linalojulikana kama nakhla na hapo akawa anaswali swalat fajr (riwaya nyengine zinaeleza ni swalat insha) swala hizi huwa zinaswaliwa kwa sauti rakaa mbili za mwanzo (alfajir ina rakaa mbili tu) basi likaja kundi la majini kusikiliza quran na hapo waliondoka wakiwa waislamu kwenda kuwalingania wenzao kama surat jinn inavyoelezea aya ya kwanza na ya pili.
Al-Jinn 72:1
قُلْ أُوحِىَ إِلَىَّ أَنَّهُ ٱسْتَمَعَ نَفَرٌ مِّنَ ٱلْجِنِّ فَقَالُوٓا۟ إِنَّا سَمِعْنَا قُرْءَانًا عَجَبًا
Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani
Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu!
English - Tafsir Ibn Kathir (Abridged)
Al-Jinn 72:2
يَهْدِىٓ إِلَى ٱلرُّشْدِ فَـَٔامَنَّا بِهِۦۖ وَلَن نُّشْرِكَ بِرَبِّنَآ أَحَدًا
Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani
Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu Mlezi.
English - Tafsir Ibn Kathir (Abridged)
b). scenario ya pili ni hadithi hii hapa
Hadith
"حَدَّثَنَا مُحَمَّدُ بْنُ الْمُثَنَّى، حَدَّثَنَا عَبْدُ الأَعْلَى، عَنْ دَاوُدَ، عَنْ عَامِرٍ، قَالَ سَأَلْتُ عَلْقَمَةَ هَلْ كَانَ ابْنُ مَسْعُودٍ شَهِدَ مَعَ رَسُولِ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم لَيْلَةَ الْجِنِّ قَالَ فَقَالَ عَلْقَمَةُ أَنَا سَأَلْتُ ابْنَ مَسْعُودٍ فَقُلْتُ هَلْ شَهِدَ أَحَدٌ مِنْكُمْ مَعَ رَسُولِ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم لَيْلَةَ الْجِنِّ قَالَ لاَ وَلَكِنَّا كُنَّا مَعَ رَسُولِ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم ذَاتَ لَيْلَةٍ فَفَقَدْنَاهُ فَالْتَمَسْنَاهُ فِي الأَوْدِيَةِ وَالشِّعَابِ فَقُلْنَا اسْتُطِيرَ أَوِ اغْتِيلَ - قَالَ - فَبِتْنَا بِشَرِّ لَيْلَةٍ بَاتَ بِهَا قَوْمٌ فَلَمَّا أَصْبَحْنَا إِذَا هُوَ جَاءٍ مِنْ قِبَلِ حِرَاءٍ - قَالَ - فَقُلْنَا يَا رَسُولَ اللَّهِ فَقَدْنَاكَ فَطَلَبْنَاكَ فَلَمْ نَجِدْكَ فَبِتْنَا بِشَرِّ لَيْلَةٍ بَاتَ بِهَا قَوْمٌ . فَقَالَ " أَتَانِي دَاعِي الْجِنِّ فَذَهَبْتُ مَعَهُ فَقَرَأْتُ عَلَيْهِمُ الْقُرْآنَ " . قَالَ فَانْطَلَقَ بِنَا فَأَرَانَا آثَارَهُمْ وَآثَارَ نِيرَانِهِمْ وَسَأَلُوهُ الزَّادَ فَقَالَ " لَكُمْ كُلُّ عَظْمٍ ذُكِرَ اسْمُ اللَّهِ عَلَيْهِ يَقَعُ فِي أَيْدِيكُمْ أَوْفَرَ مَا يَكُونُ لَحْمًا وَكُلُّ بَعَرَةٍ عَلَفٌ لِدَوَابِّكُمْ " . فَقَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم " فَلاَ تَسْتَنْجُوا بِهِمَا فَإِنَّهُمَا طَعَامُ إِخْوَانِكُمْ " ."
Dawud reported from 'Amir who said:
I asked 'Alqama if Ibn Mas'ud was present with the Messenger of Allah (ﷺ) on the night of the Jinn (the night when the Prophet (ﷺ) met them). He (Ibn Mas'uad) said: No, but we were in the company of the Messenger of Allah (ﷺ) one night and we missed him. We searched for him in the valleys and the hills and said. He has either been taken away (by jinn) or has been secretly killed. He (the narrator) said. We spent the worst night which people could ever spend. When it was dawn we saw him coming from the side of Hiri'. He (the narrator) reported. We said: Messenger of Allah, we missed you and searched for you, but we could not find you and we spent the worst night which people could ever spend. He (the Prophet) said: There came to me an inviter on behalf of the Jinn and I went along with him and recited to them the Qur'an. He (the narrator) said: He then went along with us and showed us their traces and traces of their embers. They (the Jinn) asked him (the Prophet) about their provision and he said: Every bone on which the name of Allah is recited is your provision. The time it will fall in your hand it would be covered with flesh, and the dung of (the camels) is fodder for your animals. The Messenger of Allah (ﷺ) said: Don't perform istinja with these (things) for these are the food of your brothers (Jinn).
Sahih
Sahih Muslim, 450 a
In-Book Reference: Book 4, Hadith 169
USC-MSA web (English) reference: Book 4, Hadith 903 (deprecated numbering scheme)
c. Scenario ya tatu ni hadith hii hapa ambayo wanawachuoni wameiweka kama dhaifu (weak).
Hadith
""
It was narrated from 'Abdullah bin Mas'ood (رضي الله عنه): "Amr said: 'Abdullah said:
The Messenger of Allah (ﷺ) asked me to come with him, so we set out until I came to such and such a place. He drew a line for me and said to me: "Stay there, within this line, and do not come out. If you come out you will perish.” So I stayed within it. The Messenger of Allah (ﷺ) went on, as far as one could throw a stone or a little further - or words to that effect. Then he mentioned the shapes of figures as if they were black people; they were not wearing any clothes but I could not see their private parts, and they were tall and slim. They came and started climbing on the Messenger of Allah (ﷺ), and the Prophet of Allah (ﷺ) started reciting Qur'an to them. He said: And they started coming and going around me, getting in my way. 'Abdullah said: And I got very scared of them, so I sat down - or words to that effect. When dawn came, they began to leave - or words to that effect. Then the Messenger of Allah (ﷺ) came, looking drawn and tired, or almost ill because of their climbing over him. He said: "I feel very tired" - or words to that effect. The Messenger of Allah (ﷺ) put his head in my lap - or words to that effect. Then these figures came, wearing long white garments - or words to that effect. The Messenger of Allah (ﷺ) had gone to sleep. ‘Abdullah said: And I felt more afraid of them than I had the first time. ('Arim said in his hadeeth) they said to one another. This slave of Allah has been given something good - or words to that effect - his eyes are sleeping or his eye is sleeping - or words to that effect - but his heart is awake. Then they said to one another: Let us try to find a likeness for him - or words to that effect. They said to one another: Coin for us a likeness and we will interpret it, or we will coin a likeness and you interpret it. They said to one another. His likeness is that of a leader who builds a fortified structure. Then he invites people to come and eat - or words to that effect. And whoever does not come and eat his food, or who does not follow him, he punishes him severely - or words to that effect. Others said: As for the leader, he is the Lord of the Worlds. As for the structure, it is Islam; the food is Paradise and he is the caller: whoever follows him will be in Paradise - or words to that effect. And whoever does not follow him will be punished - or words to that effect. Then the Messenger of Allah (ﷺ) woke up and said: “What did you see, O Ibn Umm ‘Abd?” ’Abdullah said: I saw such and such. The Prophet (ﷺ) said: “Nothing of what they said was hidden from me.” The Prophet of Allah (ﷺ) said: “They are a group of the angels" or he said, "some of the angels, or whatever Allah willed.”
Its isnad is da'eef]
Musnad Ahmad 3788
Arabic/English book : Book 26, Hadith 3788
N.b
Kwenye kuidhoofisha au kuipa nguvu hadith wanawachuoni huwa wanaangalia sanadi ua hiyo hadithi pamoja matini yake .
Nje ya hizo scenario hakuna nyengine zilizoripotiwa hivyo tunaamini ni alikutana nao mara tatu pekee kama dalili zilivyojionesha hapo na Allah (subhana huwataala ) anajua zaidi.
5. Kwanza jua misikiti si ya binadamu misikiti ni ya Allah(subhana huwataala) bimaana si eneo analoishi ila ni sehemu zilizotengwa rasmi kwa ajili ya kumuabudia turejee aya hii hapa.
Al-Jinn 72:18
وَأَنَّ ٱلْمَسَٰجِدَ لِلَّهِ فَلَا تَدْعُوا۟ مَعَ ٱللَّهِ أَحَدًا
Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani
Na hakika misikiti ni ya Mwenyezi Mungu, basi msimuabudu yeyote pamoja na Mwenyezi Mungu.
English - Tafsir Ibn Kathir (Abridged)
Hivyo sioni kama kuna shida viumbe wake waliomuamini wakija kumuabudu .
6. Unamanisha nini unaposema majini mabaya (mashaitani) wanakuja KUTUBU? Kutubia si lazima misikitini ubatubu hata ukiwa kwako tu maana ili toba ikubalike unatakiwa ufanye mambo matatu
1. Ujutie dhambi uliyoifanya
2. Ukiri kutorudia
3. Fuatisha na jema
Mashaitani kawaida yao ni kuharibu na kama wataingia misikitini basi ni ili kuharibu na si kujenga kwanza hawaswali, hawatubii na wamemmkataa Allah( subhana huwataala) hata wakija misikitini watakuja kuondoa uzingativu wa watu kwenye ibada ili kuwakosesha malipo .
7. Anayetakiwa kuhofiwa ni aliyetuumba Allah( subhana huwataala) na si alichokiumba .