grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Soso
Sisi tunawaacha na Majini yenu naona mnayatetea sana na nadhani mnanufaika nayo kwa mambo mbali mbali.
Kati ya mambo ambayo Wakristo wana iona hiyo dini kama ni kitu kisichofaa ni namna mnanyo wakumbatia Majini.
Na tunaamini Dr. Sure yuko sahihi kabisa.
Ume draw conclusion kabla ya kujibu swali langu nililoku quote rejea post #192 kipengele cha kwanza kabisa.
KINGINE
1. Ukristo sio rule of thumb ya kuupimia uislamu, hivyo haijalishi mkristo ataongea au kuandika nini kuhusu uislamu reality itabaki pale pale , alichokiongea Allah(subhana huwataala) kitabaki kuwa ukweli mpaka mwisho wa dunia.
2. umeongelea kuwakumbatia majini sijajua unamaanisha nini unaposema "kuwakumbatia" labda unge clarify kidogo ukiweka na rejea kutoka kwenye quran na sunna ili tupate kuelewana.
3. Mnaamini doctor sule yuko sahihi, doctor sule ni muumin kama waumini wengine hana authority ya kupinga kauli ya Allah(subhanna huwataala) hukmu tayari ipo kwamba tumtegemee Allah(subhanna huwataala) pekee dalili zipo kwenye quran nzima ila nyepesi zaidi ni surat fatiha aya ya 5 , na si alivyoviumba KINYUME NA HAPO UNATOKA NJE YA MISINGI YA UISLAMU NA UNAKUWA KAFIR.
yote ya yote Allah(subhanna huwataala) awaongoze wasiokuwa waislamu wauone mwanga na wapate ukweli maana yeye ndiye mwenye kuongoa .