Endelea kusema hivyo halafu baada ya kura za maoni urudi hapa tena kuandika.Idadi ya wasafwa wanaojitambua ni wachache sana na tena kwa mbeya mjini wanaoongoza kuvaa mi tishet ya tulia trust ndio haohao wasafwa
Mwaka huu WASAFWA hawamtaki SuGu wala Mnyakyusa yeyote. Wanataka MSAFWA mwenzao. Endelea kunywa mtori nyama ziko chiniAcha mada za ukabila, Mbeya ni mji wenye watu wengi wa makabila mbalimbali, hata mchaga anaweza kugombea.
Kwani akina bashite na gwajima wanavyogombea majimbo ya Dar tuseme ni dharau kwa wazaramo?
Ninae kila kitu anajua mpaka nimeamua kukaa kimya cku zipiteNa kama kuna Wanawake ambao kamwe sitokuja hata Kuthubutu Kuwa nao Kimahusiano ni Wanasheria. NIi Wabishi, wana Gubu na wana Amri.
BETINA naona umekuja mwenyewe kujidhalilisha humu..Vibwengo kama wewe tutawabutua wewe ongea tu huo utopolo.
Hapiti!Mbunge Wetu Mashuhuri kabisa Dkt Tulia
[emoji23][emoji23][emoji23]Idadi ya wasafwa wanaojitambua ni wachache sana na tena kwa mbeya mjini wanaoongoza kuvaa mi tishet ya tulia trust ndio haohao wasafwa
Km Mungu kamkusudia atapita, lakin km kagombea kwa hila hapiti ktk jina la Yesu!Kitakachombeba tulia Ni ukweli kuwa sisiemu hawategemei kura kushinda, Ni ubabe na wizi tuu
idadi ya wasafwa mbeya mjini ni ndogo kulinganisha na 'wakuja' wakinga na katika hao wachache ni wachache pia waliyo ahatika kuelewa umuhimu wa kupiga kura, Kura za Shitambala 2015 zinathibitisha ninayosema halafu pia wasafwa wanakimbia mji utawakuta Mponja Hayombo Igawilo ila kati kati ya mji ni wachache sanaMwaka huu WASAFWA hawamtaki SuGu wala Mnyakyusa yeyote. Wanataka MSAFWA mwenzao. Endelea kunywa mtori nyama ziko chini
Sugu mpaka sasa anakura zaidi 20 kutoka kwenye familia yangu huyo Tulia atulie kwanza hata wanyakyusa wenzake hatumpendinapenda kumtaarifu Dr Tulia kujiandaa kulia machozi kwa sababu ameingia kwenye kazi kubwa ambayo matokeo yake ni machozi...
Wananchi wa Mbeya sio watu wa kuchezea chezea...
Sugu bye bye
BETINA naona umekuja mwenyewe kujidhalilisha humu..
Teh Teh Teh Teh
Aliwahi kuwa Ag. Managing Director wa TPDC kabla ya Dr. Mataragio. Pia amewahi kuwa Naibu Katibu wa Wizara ya Nishati. Nadhani utakuwa unaelewa anacheza levels ganiMkuu Funza, mumewe amesema yeye si mwanasiasa, kuna cheo gani kikubwa kinapatikana nje ya siasa kwa nchi hii?
Nitake radhi mkuu. Kumjua mtu sio kosa ninasema hivyo kwa sababu nimewahi kufanya nae kazi na ni rafiki yangu. Mimi sio mwanasiasa na usiingize siasa kwenye komenti yanguWewe ni house maid wao?? Maana unawajua mnooo
Nani kakudanganya kwamba Idadi ya Wasafwa pale mjini ni kubwa kuliko Wanyakyusa?,Jimbo la Mbeya mjini limekuwa likiongozwa na wabunge wanyakyusa kabla na pia baada ya ujio wa vyama vingi mfano Mh Mwamfupe,Mh Mwaiseje nk,Changamoto kubwa kwa dada huyu ni kwamba
1. katika ardhi hii iliyosheheni wasafwa ni ngumu sana yeye mnyakyusa kupita (nafhani walioishi mbeya wananielewa vizuri zaidi)
2. Jinsia ya kike bado watu wanaamini ni dhaifu kwa hapa mbeya...