Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia Ackson achukua fomu ya Ubunge Mbeya Mjini kupitia CCM. Asindikizwa na mumewe

Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia Ackson achukua fomu ya Ubunge Mbeya Mjini kupitia CCM. Asindikizwa na mumewe

Idadi ya wasafwa wanaojitambua ni wachache sana na tena kwa mbeya mjini wanaoongoza kuvaa mi tishet ya tulia trust ndio haohao wasafwa
Endelea kusema hivyo halafu baada ya kura za maoni urudi hapa tena kuandika.
 
Acha mada za ukabila, Mbeya ni mji wenye watu wengi wa makabila mbalimbali, hata mchaga anaweza kugombea.

Kwani akina bashite na gwajima wanavyogombea majimbo ya Dar tuseme ni dharau kwa wazaramo?
Mwaka huu WASAFWA hawamtaki SuGu wala Mnyakyusa yeyote. Wanataka MSAFWA mwenzao. Endelea kunywa mtori nyama ziko chini
 
Napenda kumtaarifu Dr Tulia kujiandaa kulia machozi kwa sababu ameingia kwenye kazi kubwa ambayo matokeo yake ni machozi...
Wananchi wa Mbeya sio watu wa kuchezea chezea.

Population inaonyesha vijana ni wengi na ni majority katika upigaji kura. Vijana wamejionea jinsi ccm na serikali wanavyofanya makusudi ya kuzuia maendeleo mbeya kwa sababu ya haki yao ya kuchagua upinzani.

Barabara kuu ya uyole mbalizi ilitakiwa iwe imejengwa siku nyingi ili kuweza kuodoa matatizo ya foleni pale mbeya lakini kwa makusudi kabisa hawataki kwa sababu ni jimbo laupinzani.

Wananchi wanaona jinsi wanvyonyanyaswa na mkuu wa mkoa kisa siasa za kijinga za kuzuia maendeleo ya mji. Sasa wamesema tutamrudisha Sugu na tutaona mwisho wenu nyie CCM utakuwaje.
 
Kitakachombeba tulia Ni ukweli kuwa sisiemu hawategemei kura kushinda, Ni ubabe na wizi tuu
Km Mungu kamkusudia atapita, lakin km kagombea kwa hila hapiti ktk jina la Yesu!

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Mwaka huu WASAFWA hawamtaki SuGu wala Mnyakyusa yeyote. Wanataka MSAFWA mwenzao. Endelea kunywa mtori nyama ziko chini
idadi ya wasafwa mbeya mjini ni ndogo kulinganisha na 'wakuja' wakinga na katika hao wachache ni wachache pia waliyo ahatika kuelewa umuhimu wa kupiga kura, Kura za Shitambala 2015 zinathibitisha ninayosema halafu pia wasafwa wanakimbia mji utawakuta Mponja Hayombo Igawilo ila kati kati ya mji ni wachache sana
 
CCM wametia fora. Kuna majimbo naona wanaCCM wote wa jimbo husika wameenda kuchukua form. Hii ni zaidi ya ulafi
 
napenda kumtaarifu Dr Tulia kujiandaa kulia machozi kwa sababu ameingia kwenye kazi kubwa ambayo matokeo yake ni machozi...
Wananchi wa Mbeya sio watu wa kuchezea chezea...
Sugu mpaka sasa anakura zaidi 20 kutoka kwenye familia yangu huyo Tulia atulie kwanza hata wanyakyusa wenzake hatumpendi
 
Mkuu Funza, mumewe amesema yeye si mwanasiasa, kuna cheo gani kikubwa kinapatikana nje ya siasa kwa nchi hii?
Aliwahi kuwa Ag. Managing Director wa TPDC kabla ya Dr. Mataragio. Pia amewahi kuwa Naibu Katibu wa Wizara ya Nishati. Nadhani utakuwa unaelewa anacheza levels gani
 
Wewe ni house maid wao?? Maana unawajua mnooo
Nitake radhi mkuu. Kumjua mtu sio kosa ninasema hivyo kwa sababu nimewahi kufanya nae kazi na ni rafiki yangu. Mimi sio mwanasiasa na usiingize siasa kwenye komenti yangu
 
Changamoto kubwa kwa dada huyu ni kwamba

1. katika ardhi hii iliyosheheni wasafwa ni ngumu sana yeye mnyakyusa kupita (nafhani walioishi mbeya wananielewa vizuri zaidi)

2. Jinsia ya kike bado watu wanaamini ni dhaifu kwa hapa mbeya...
Nani kakudanganya kwamba Idadi ya Wasafwa pale mjini ni kubwa kuliko Wanyakyusa?,Jimbo la Mbeya mjini limekuwa likiongozwa na wabunge wanyakyusa kabla na pia baada ya ujio wa vyama vingi mfano Mh Mwamfupe,Mh Mwaiseje nk,

Then ndipo wakaja Mpesya na sasa Mh Sugu ambao ni makabila tofauti na Kyusa, na hata madiwani wengi pale mjini ni Wanyakyusa, wasafwa, Kinga nk,hivyo kikezo cha ukabila hakina nguvu sana kama unovyoelezea bali sifa za mgombea pia zina nafasi yake.Mh Sugu sio Msafwa lkn alishinda kwa kishindo vipindi viwili tena akimshinda mgombea wa Kisafwa.
 
Mimi nilifocus tu a sauti ya mume wa mtia nia. Aisee ana sauti moja nzito tamu sipati picha. Hongera dada Tulia una mume handsome
 
WANAOSEMA JPM KAMTUMA TULIA ACKSON KUWA MBUNGE WA MBEYA MJINI; RAIS KAKANUSHA HAPA KWENYE KIAMBATISHO
IMG-20200716-WA0019.jpg
 
Back
Top Bottom