DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Flat screen ajitambui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaosema wacha ukabila ndiyo wakabila wakubwa sana. Mbeya siyo Dar ambapo kila kabila laweza kuongozaAcha mada za ukabila, Mbeya ni mji wenye watu wengi wa makabila mbalimbali, hata mchaga anaweza kugombea.
Kwani akina bashite na gwajima wanavyogombea majimbo ya Dar tuseme ni dharau kwa wazaramo?
Mmmmmh pita weweHapitiiii,namfutaa
JESUS IS LORD[emoji120]
Yaani Wanyaki wamemuona Tulia Ackson hafai kuwa Mbunge wao, wakaamua kumchangia fedha za kuchukua fomu ili akagombee Jimbo la Mbeya Mjini. Ni DHARAU ya hali ya JUU kwa WASAFWA.
Acha ukabila mzee. Dr. Tulia wacha tuchukue Jimbo. Wasafwa Mbeya vijijini tumewaachia
Yaani Wanyaki wamemuona Tulia Ackson hafai kuwa Mbunge wao, wakaamua kumchangia fedha za kuchukua fomu ili akagombee Jimbo la Mbeya Mjini. Ni DHARAU ya hali ya JUU kwa WASAFWA.
Idadi ya wasafwa wanaojitambua ni wachache sana na tena kwa mbeya mjini wanaoongoza kuvaa mi tishet ya tulia trust ndio haohao wasafwaMimi ni Mnyakyusa PURE. Sisi hatuko tayari kutawaliwa na mwanamke, hili liko wazi wala usitumie nguvu kunibishia.
Vile vile Mbeya kuna ukabila mkubwa kati ya Wasafwa na Wanyakyusa. Hakuna Msafwa anaweza hata kugombea udiwani wilaya ya Rungwe japo kuanzia Kiwira mpaka Kijiji cha mwisho cha mpaka wa Rungwe na Mbeya wakazi wote ni Wasafwa.
LAKINI naujua muziki wa WASAFWA, wakiamua TULIA ACKSON hapiti hata kura za maoni za ndani ya Chama cha CCM. TULIA atatulizwa tusubiri wakati mwafaka.
Labda kanda ya ziwa ndiyo kuna makondoo mengi sana, siyo kwa MbeyaKitakachombeba tulia ni ukweli kuwa sisiemu hawategemei kura kushinda, Ni ubabe na wizi tu.
Hyu Mdada alikosa washauri wakati wa maamuzi ya kugombea hasa mikakati ya kampeni hasa zile foundations zake ambazo zilikaa kitakrimatakrima..