Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! hiyo 100 uwa inapatikana tz tu hasa kizazi hiki, nakumbuka hata mwl Nyerere hakuwahi kupata hiyo 100 na haiwezekani watu 376 wakawa na mawazo sawa labda kama wote wameangalizia😂😂😂Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, ameshinda uchaguzi wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 376 kati ya 376 zilizopigwa sawa na asilimia 100.
Hii inamaanisha na wabunge 19 wa chama cha CHADEMA waliohudhuria leo kura zao zimo kwenye jumla hiyo.
Spika Tulia Akckson ameapishwa kuwa Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akimrithi mtangulizi wake aliyeng'atuka, Job Ndugai.
Alaaaa 👍Hawakuwa wabunge hivyo hawakupiga kura.
Pia hao wabunge wa upinzania waliogombea uspika hawakujipigia wao wenyewe 🤷♂️Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, ameshinda uchaguzi wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 376 kati ya 376 zilizopigwa sawa na asilimia 100.
Hii inamaanisha na wabunge 19 wa chama cha CHADEMA waliohudhuria leo kura zao zimo kwenye jumla hiyo.
Spika Tulia Akckson ameapishwa kuwa Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akimrithi mtangulizi wake aliyeng'atuka, Job Yustino Ndugai.
Dah sijui wanaume wa Tanzania hatima yetu ni nini,tunaongozwa na wanawake?Ni obvious Shetani ameikamata Tanzania.Anataka aimalize Tanzania kama alivyoumaliza humanity Eden.Inaogofya sana.Jobu maskini hakutegemea kilichotokea mpaka kuukosa uspika wake ambao ulikuwa ushaota mizizi tena kuukosa kwa kiwango hiki, Rais wa nchi inabidi tu aheshimiwe hakuna namna nyengine, mama akiwa nyumban lakini kazini ni mkuu wa majeshi yote.
Kwa mujibu wa dini yetu kiongozi mwanake ni shida., lakini ukweli ni kwamba mama ameipoza nchi, watu wamerudi kuwa na amani, wakati ule watu waliishi kwa khofu sana, mateso, vipigo havina sababu, kutekwa, kes za kubambika, wizi hivi hivi, lakini watu hawakuwa huru na mazao yao kama wale wakulima wa korosho., upinzani ulisiginwa mpaka ukutani ata hivi kuandika hapa ilikuwa una hofu sana nkDah sijui wanaume wa Tanzania hatima yetu ni nini,tunaongozwa na wanawake?Ni obvious Shetani ameikamata Tanzania.Anataka aimalize Tanzania kama alivyoumaliza humanity Eden.Inaogofya sana.
Aliye juu mngoje chini. Na uwapo juu usiwanyee wa chini, kwani pindi ukiteremka utakutana na kinyesi chako hapo chini, je utakanyaga wapi?Dahh.. Joab atakuwa anajisikiaje deputy wake kuwa boss wake!!
Wagombea 8Uchaguzi wa sipika,
Kwani alikuwa anashindana na nani?
Hata ndugai alikiluwepoKwahiyo kati ya watu 376 waliopo kwenye Bunge letu katika hili la kumchagua speaker wote akili zao zimefanana? Hakuna hata mmojaa mwenye maono ya tofauti? Inafikirisha
Kosa alifanya ndugai kukaaa kimya karibu wiki nzima badala ya kutoka hadharani kurekebisha kauli yake ikaonekana amedhamilia,,, sasa sijui alikua anapima kina cha maji.... Hiyo ndo imemcost uspika wake,,, atajilaumu hadi siku ya mwishoJobu maskini hakutegemea kilichotokea mpaka kuukosa uspika wake ambao ulikuwa ushaota mizizi tena kuukosa kwa kiwango hiki, Rais wa nchi inabidi tu aheshimiwe hakuna namna nyengine, mama akiwa nyumban lakini kazini ni mkuu wa majeshi yote.
Hukua na haja ya kunitusi,Jamaa liongo hili. Wagombea kutoka vyama vya TLP, NRA, CCK, ADA-TADEA, SAU ni wambunge?
Alioshindana nao sio wabunge, hawakupiga kura[emoji851][emoji851]Ajabu ni alioshindana nao pia wamempigia kura,
Yaani amependwa sio mchezo
Mimi kwa Magufuli sikuishi kwa hofu kwa kuwa nilijua mabeberu hawatatuchezea na pia sikuwa na makando kando.Waliokuwa na makando kando ndio walio kuwa na hofu.Sasa nina hofu kwa kuwa najua mabeberu wameikamata nchi na Shetani is in control.Ni baada ya muda tu atadhihirisha makucha yake halisi kwa Tanzania.Kwa mujibu wa dini yetu kiongozi mwanake ni shida., lakini ukweli ni kwamba mama ameipoza nchi, watu wamerudi kuwa na amani, wakati ule watu waliishi kwa khofu sana, mateso, vipigo havina sababu, kutekwa, kes za kubambika, wizi hivi hivi, lakini watu hawakuwa huru na mazao yao kama wale wakulima wa korosho., upinzani ulisiginwa mpaka ukutani ata hivi kuandika hapa ilikuwa una hofu sana nk