Dkt. Tulia Ackson anastahili kuwa Rais wa Tanzania

BICHWA KOMWE -

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2022
Posts
6,373
Reaction score
16,073
Huyu dada ni kichwa haswa, amenyooka kiakili kama rula. Hababaiki wala hababaishi.

Wakili Msomi Dr. Tulia Ackson atatufaa sana mwaka 2025. Samia akae kando atupishe tujipatie chuma hiki cha kisheria.

Sijaona mwanamke mwingine yeyote nchini mwenye uwezo wa kitaaluma na kisiasa unaofua dafu kwa Dr. Tulia Ackson.

Huyu msomi huwezi kumfanisha na akina Jenista Mhagama waliopata madivisheni ziro, au sijui Halima Mdee. Hiki ni chuma kweli kweli.

Hata anavyoliongoza Bunge unaona kabisa huyu ni msomi wa kisawasawa.

2025 twende na hiki chuma. Tusipoteze tunu adhimu kama hii.
 
Tulia anazifahamu changamoto za walimu vizuri
Tukae tupo nchi hii huyu madam atakuwa rais
 
Huyu dada ni kichwa haswa, amenyooka kiakili kama rula. Hababaiki wala hababaishi.

Wakili Msomi Dr. Tulia Ackson atatufaa sana mwaka 2025. Samia akae kando atupishe tujipatie chuma hiki cha kisheria.

Sijaona mwanamke mwingine yeyote nchini mwenye uwezo wa kitaaluma na kisiasa unaofua dafu kwa Dr. Tulia Ackson.

Huyu msomi huwezi kumfanisha na akina Jenista Mhagama waliopata madivisheni ziro, au sijui Halima Mdee. Hiki ni chuma kweli kweli.

Hata anavyoliongoza Bunge unaona kabisa huyu ni msomi wa kisawasawa.

2025 twende na hiki chuma. Tusipoteze tunu adhimu kama hii.
Mkishavimbiwa na mahede mnaandika upuuzi. Punguza kutumia akili ya tumbo kuandika yaliyopo kichwani.
 
Tulia anafaa, tundu lisu anafaa ila aachane na huyo Freeman Mbowe
 
Huyu mama ni mtu mmbaya sana humjui kweli simpendi kabisa mnafiki ukishapata mtu mnafiki hutomweza maishani na hii ID ni yangapi
 
Back
Top Bottom