Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Hadi ccm itakopota madarakaniKwa hiyo huyu dada tunadunda nae mpaka 2040 duh!
au mpaka chadema wachukue nchi
Afai atatii maagizo
sasa hivi ule wimbo wa katiba mpya hakuna tenaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
atanilipa kwa mema yangu na wewe ataangalia ugaidi wako unaoufanyaUtalipwa na Mungu wa mbinguni
Shangaa na wewe!!!?Siyo Nchi itakoma?
Basi subiria malipoatanilipa kwa mema yangu na wewe ataangalia ugaidi wako unaoufanya
tunawatumikia wananchi hao chadema tuwakomoe ni kinanai kwanza wanashida gani?Katiba Ni Mali ya wananchi sio bunge. Shida mnafanya teuzi kuikomoa CHADEMA haya Miaka mine mingi Sana.
nawewe endelea na ugaidi wenu muendelee kunyea kwenye ndoo za magerezaBasi subiria malipo
Ndio anayefaa sasa
Including na baba yako maana naye Ni ChademaSafi sanaaaa anafaa chadema watakomaaa
siwezi kuwa na baba lichadema ningelipa kesi ya uhaini lifungwe tu kuliko kuwa chademaIncluding na baba yako maana naye Ni Chadema
Haitaishia hapo kwani tangu tumepata Uhuru takribani miaka 60 iliyopita hakujawahi kuwa na Waziri Mkuu KE. Tegemea hilo muda mfupi ujao.Bado jaji mkuu
hayo huwaga ni mawazo yenu tu hebu fikiria rais mpole mnyeynye kevukama samia naye mnamchukia sijui huwaga mnataka kiongozi wa aina gani awamu yatano mlikuwa mnalia na hii bado mnalia yaani hamueleweki mnapenda niniCCM ni adui wa Tanzania. Inachofikiria wakati wote ni kuwanyima sauti wananchi. Hivyo kila wakati wanatafutwa watu wa kuziba midomo ya umma.
Huyu cheusi ataipiga cdm kung fuu mpaka ijuteHaya sasa cheusi huyo