Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Kwani yeye pekee ndio aliyekua na sifa ? Kama mtu unaweza kuchambua kisiasa na kiusalama spika Tulia hana impact yeyote ya kumsaidia Rais ambaye bunge lake lina taswira mbaya kuliko wakati Wowote ule toka Uhuru … kisiasa hana nguvu yeyote wala hana heshima ya kusikilizwa na wananchi wa kawiada .. kwa sababu amekua mtu wa kubebwa bebwa
Alidhbutu kutoa hotuba ya kujipendekeza juzi mbele ya Rais ili tu kumfurahisha
Lakini tutajua tu kuwa huuuu ni uamuzi wa hovyo kuliko Wowote karibuni nina mashaka kama Rais ana Udhubiti sioni kama Angekubali tena hasa kumpitisha kibabe na kuwanyima haki wabunge wa ccm wa kupigia kura majina Matatu.