Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Kwani yeye pekee ndio aliyekua na sifa ? Kama mtu unaweza kuchambua kisiasa na kiusalama spika Tulia hana impact yeyote ya kumsaidia Rais ambaye bunge lake lina taswira mbaya kuliko wakati Wowote ule toka Uhuru … kisiasa hana nguvu yeyote wala hana heshima ya kusikilizwa na wananchi wa kawiada .. kwa sababu amekua mtu wa kubebwa bebwa

Alidhbutu kutoa hotuba ya kujipendekeza juzi mbele ya Rais ili tu kumfurahisha

Lakini tutajua tu kuwa huuuu ni uamuzi wa hovyo kuliko Wowote karibuni nina mashaka kama Rais ana Udhubiti sioni kama Angekubali tena hasa kumpitisha kibabe na kuwanyima haki wabunge wa ccm wa kupigia kura majina Matatu.
 
sasa hivi ule wimbo wa katiba mpya hakuna tenaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Katiba Ni Mali ya wananchi sio bunge. Shida mnafanya teuzi kuikomoa CHADEMA haya Miaka mine mingi Sana.
 
Katiba Ni Mali ya wananchi sio bunge. Shida mnafanya teuzi kuikomoa CHADEMA haya Miaka mine mingi Sana.
tunawatumikia wananchi hao chadema tuwakomoe ni kinanai kwanza wanashida gani?
 
CCM ni adui wa Tanzania. Inachofikiria wakati wote ni kuwanyima sauti wananchi. Hivyo kila wakati wanatafutwa watu wa kuziba midomo ya umma.
 
CCM ni adui wa Tanzania. Inachofikiria wakati wote ni kuwanyima sauti wananchi. Hivyo kila wakati wanatafutwa watu wa kuziba midomo ya umma.
hayo huwaga ni mawazo yenu tu hebu fikiria rais mpole mnyeynye kevukama samia naye mnamchukia sijui huwaga mnataka kiongozi wa aina gani awamu yatano mlikuwa mnalia na hii bado mnalia yaani hamueleweki mnapenda nini
 
Back
Top Bottom