Je wanasheria hii imekaaje?
Je Naibu sahihi ccm kumpitisha Naibu spika kuwa Spika? Je akiingia kupigiwa kura ndo atajiuzuru?
Kabebwa na gender Mwenyekiti asingemtupa,Ila ni bora kuliko Chenge.Ndio anayefaa sasa
MaagizoYani nchi ilishakosa mwelekeo. Yani amepitishwa kuwa speaker huku ni naibu speaker.
Muulize Mungu MagufuliYa kwenda wp!?
Hivi hakuna cheo Cha msemaji wa BUNGE kama yule msemaji wa serikali,wakianzishe hicho Ule uteuzi PNi mwandishi huru cum bada wa CCM !.
P
Hahahaaa bado muhimili mmoja tu wamama washike kona zote[emoji1787]
China ukitaka kuhonga unalipa consultant compay as a consultant fee kumbe pesa za huyo anayeitwa coosultant kuhonga viongozi wa serikali!!!Ila P hapati kitu hapa. Jana saa 3:26 hapa hapa jamvini P alimponda sana Tulia kwamba hafai kabisa bora hata mtoka zake. Nakumbuka Sana hilo kwani nilimpa tahadhari kwamba kama NS akitulia ajiandae kuitwa huko kwa Zumbe. Na sasa yametimia.
Waliokufa hawaulizwiMuulize Mungu Magufuli
+ Jaji Mkuu MwanamkeHongera Dr.
I saw this coming...
Na wewe si MULTSECTERAL vilevile mkuu uliyesoma mambo mbalimbali mbona hukutokeza mbele ya baraza kunadi vyeti mbalimbali ulivyo navyo ili watu wa kijani watambue ma wewe upo hata kama ungekosa hii jina lako linakuwa tayari hightable au hauna kadi ya kijani?What a missed opportunity ?!.
tulitaka Spika Bora, tumeletewa Bora Spika!.
P
Dada anayekugonga hakufikishi unawashwa sanaWALE WANAOSHINDA KISUTU NA GAIDI
Huyu cheusi ataipiga cdm kung fuu mpaka ijute
Hili jambo halihitaji ushabiki huu unaoufanya bila sababu.Ufahamu nilionao ndiyo huu niko huru kuliko nyie wenye roho mbaya mtu kapata kiti roho zinawaumaaaaaaaaaaaaaaaaa tatizo mlikimbia umande pengine wewe hapo ndiyo ungekuwa umepitishwa kuwa spika
Na baba yako maana yeye Ni Chadema damuroho zinawaumaaaaaa
Wanawake wanaruhusiwa kukaa juu yetu...Haitaishia hapo kwani tangu tumepata Uhuru takribani miaka 60 iliyopita hakujawahi kuwa na Waziri Mkuu KE. Tegemea hilo muda mfupi ujao.
Mara hii umemsahau Hamza rip ?!ushaona wapi ccm kuna gaidi? chadema ni mashetani mpaka magaidi wanao sasa nani mbaya kati ya ccm na chadema wenye magaidi?