Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Je wanasheria hii imekaaje?

Je Naibu sahihi ccm kumpitisha Naibu spika kuwa Spika? Je akiingia kupigiwa kura ndo atajiuzuru?

Yani nchi ilishakosa mwelekeo. Yani amepitishwa kuwa speaker huku ni naibu speaker.
 
All is rubbish as long as hakuna Katiba mpya, all 71 contestants were "rubbishes" as long as we have the imperial president
 
Huyu hana muelekeo kwa wale Covid-19 kuwashughulikia
 
Ila P hapati kitu hapa. Jana saa 3:26 hapa hapa jamvini P alimponda sana Tulia kwamba hafai kabisa bora hata mtoka zake. Nakumbuka Sana hilo kwani nilimpa tahadhari kwamba kama NS akitulia ajiandae kuitwa huko kwa Zumbe. Na sasa yametimia.
China ukitaka kuhonga unalipa consultant compay as a consultant fee kumbe pesa za huyo anayeitwa coosultant kuhonga viongozi wa serikali!!!

Mayala ana kampuni ya PPR Takukuru waangalue kama kuna transaction ya pesa nyingi iliingia kipindi cha mchakato wa Spika wamkomalie wafuatilie hiyo transaction ya huo mkataba hata kama Chenge hakusaini yaweza kuwa alitumia proxy kuingia business deal ya kupewa pesa za rushwa kuhonga wajumbe

Hizi PPR au consultant companies hutumika sana kubeba ba kusambaza pesa za rushwa !!!
 
What a missed opportunity ?!.
tulitaka Spika Bora, tumeletewa Bora Spika!.
P
Na wewe si MULTSECTERAL vilevile mkuu uliyesoma mambo mbalimbali mbona hukutokeza mbele ya baraza kunadi vyeti mbalimbali ulivyo navyo ili watu wa kijani watambue ma wewe upo hata kama ungekosa hii jina lako linakuwa tayari hightable au hauna kadi ya kijani?
 
Huyu cheusi ataipiga cdm kung fuu mpaka ijute

Kweli kabisa, siku hizi kazi ya speaker Ni kuipiga kungfu CHADEMA. Ndio maana sheria za hovyo zinapitishwa bungeni baadae wanaanza kulalamika. Kwa bahati mbaya CHADEMA haipo bungeni, sijui ataipiga saa ngapi huyo kibaraka.
 
Ufahamu nilionao ndiyo huu niko huru kuliko nyie wenye roho mbaya mtu kapata kiti roho zinawaumaaaaaaaaaaaaaaaaa tatizo mlikimbia umande pengine wewe hapo ndiyo ungekuwa umepitishwa kuwa spika
Hili jambo halihitaji ushabiki huu unaoufanya bila sababu.

Siku moja wafuasi wa watawala mtajaona kosa mlilolifanya kwenye mambo muhimu ya kuendesha nchi. Na ushabiki woote huo bado Tanganyika ni nchi masikini sana duniani.
 
Back
Top Bottom