Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tofau
serikali haiendeshwi kwa kugeukana hayo mambo yapo chadema ndiyo maana hawasongi mbele wao kila siku dili tu mara wauze chama kwa lowassa makengeza ni mtu wa dili nakuwageuka wenziesana siyo ka ccm

Tofautisha mhimili was nchi na chama Cha siasa Kama chadema. Bunge linahusu taifa Zima, na maamuzi ya CHADEMA yanaangalia maslahi yao kwa kipindi hicho. Mbona serikali ya CCM inageuka geuka, juzi walioinga chanjo Leo wanahamasisha chanjo.
 
Kabebwa na gender Mwenyekiti asingemtupa,Ila ni bora kuliko Chenge.

Sababu jinsia haijawahi fanya kazi. Tulia angeweza kubaki naibu spika hata kupata nafasi nyingine ya kulisaidia taifa, na masele alikua spika sahihi sana.

Mungu ibariki Tanzania
 
Soon kaji mkuu atakua mwanamke...
Natoka mkoa ambao mwanaume ana mamlaka, najisikia vibaya sana...
Wanawake mwaka wao huu wakishindwa tena basi.
KILA kitabu na zama zao awamu iliyopita kama wewe ni wa kanda na kabila pendwa au ni chawa kama ulikosa teuzi sahau bahati haiji mara mbili.
Mama anatuvusha.
 
Safi sanaaaa anafaa chadema watakomaaa
That’s real dumb

Utashangaa jinsi CCM watakavyonyoroshwa na wakojani kupitia mchezaji wao nyota wa kukodi huko bungeni. Chadema wakibaki watazamaji tu.

Kama hamjalilia ushirika na CHADEMA kudai katiba mpya.
 
Mi
Wanawake mwaka wao huu wakishindwa tena basi.
KILA kitabu na zama zao awamu iliyopita kama wewe ni wa kanda na kabila pendwa au ni chawa kama ulikosa teuzi sahau bahati haiji mara mbili.
Mama anatuvusha.
mimi ni mkurya
 

Hongera kwake Tulia ackson
 
Haikuwa Rahisi kwake kupita japo sina huwakika kama mafuta na maji huchangamana ila Mungu atabaki kuwa Mungu. Na anayo safari ngumu wala sio rahisi mwenye akili na maono atanielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…