Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tanzania sasa inaenda kuongozwa na wanawake watatu. Kwenye top official.

Rais Samia Hassan Suluhu
Spika wa BUNGE: DR. TULIA
Waziri wa jenshi na Ulinzi: Tax
 
ngoja tuone,kura zitakuwaje maana hapo ameteuliwa na watu wachache,wanaume wanasemaje huko bungeni,nchi imekamatwa na wanawake rasmi!!
 
Najiuliza kama kulikuwa na sababu ya kuhamasisha watu 70 kuchukua fomu wakati ushindani wa kupata mgombea hakuna. !!
 
Dah! Wanaenda tena kupiga kura ndani ya chama, ili iweje?
 
Samweli Sitta vp ??? au umemsahau
 
Huwa tunamalizana nao kimya kimya kama tulivyomalizana na Lowasa chadema mkamchukua tukamalizana naye sanduku la kura na Chenge mchukueni awe mgombea wenu uraisi si anazo pesa za kuwahonga kununua chadema kama Lowasa alivyokinunua ? Mchukueni
Kurejea CCM na kupokelewa kwa heshima na mwenyekiti wa chama ni part of the deal?

Chenge alikuwa mmoja wa wenyeviti bungeni. Ana heshima yake kubwa tu ndani ya CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…