Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona nchi ishakuwa ya wamama hii
Legendary wewe unaweza kuwa Yahaya Wa kizazi hiki humu Jf...kudos Bhagoshaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mchezo Umekwisha!,
Jina Moja ni Dr. Tulia Akson!
Paskali.
Hata vitabu vya dini havikuwapa uongozi wanawake. Bado jaji mkuu mwanamke.Ila hii nchi hatuko serious na maisha kabisa
Ni mradi ule. 1,000,000 x 70.Najiuliza kama kulikuwa na sababu ya kuhamasisha watu 70 kuchukua fomu wakati ushindani wa kupata mgombea hakuna. !!
Wagombea wenza 69 kila mmoja kapigwa na kitu kizito kichwani...!Mchezo Umekwisha!,
Jina Moja ni Dr. Tulia Akson!
Paskali.
Safari ya kwenda wapi?
And it surely going to fail.This country is doomed to fail.
Watanzania ni waoga sana mpaka wanajeshi wao pia ni waoga. Usitegee coup kutokea.Kila kitu kimepangwa, wanachofanya ni kusoma tu script, coups kila mahali, hatuna nchi hapo!
Samweli Sitta vp ??? au umemsahauHili lilitarajiwa na nimekuwa nikiandika hapa...
Mosi, hakuna aliyekuwa anamzidi Tulia kwa uzoefu...
Pili, imekuwa kama ni utaratibu wa CCM kumrithisha naibu wa Spika nafasi ya Uspika inapokuwa wazi..
Tatu, imekuwa ni nafasi pekee ya kuweza kuwa na wanamama wawili katika mihimili ya JMT
Kurejea CCM na kupokelewa kwa heshima na mwenyekiti wa chama ni part of the deal?Huwa tunamalizana nao kimya kimya kama tulivyomalizana na Lowasa chadema mkamchukua tukamalizana naye sanduku la kura na Chenge mchukueni awe mgombea wenu uraisi si anazo pesa za kuwahonga kununua chadema kama Lowasa alivyokinunua ? Mchukueni
Hana sifa hiyo mpaka sasa labda ateuliwe ubunge kwanzanatabiri Naibu spika ni Masele