Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Basi sawa.
 
Eti uzoefu.. sema mambo mengine.

Tunasubiria kusikia nini kilifanyika hadi kufikia kumpata yeye.

Sasa hebu taja kati ya wagombea waliokuwa wakitafuta nafasi, ni yupi mwenye uzoefu na uspika wa bunge la JMT?

Wakati mwingine tuwe tunaweka mahaba pembeni na tutumie simple logics namna CCM huwa wanaendesha mambo yao...
 
Karata zimechezwa vizuri
Nafasi ya uspika amewekwa
Mtu ambaye Mama ata mmudu
Na tulia ndo chaguo sahihi
 
sina hakika kama huyu ana akili huru au naye ni wa kuburuzwa kama kondoo
 
Pascal Mayalla komaaa na huyuhuyu akupigie debe kwenye teuzi zijazo. Ulimtabiria na kumpiga debe sana humu tangu zamani.

It's now or Never!
Soma tarehe ya bandiko hili!.
P
 
Sasa hebu taja kati ya wagombea waliokuwa wakitafuta nafasi, ni yupi mwenye uzoefu na uspika wa bunge la JMT?

Wakati mwingine tuwe tunaweka mahaba pembeni na tutumie simple logics namna CCM huwa wanaendesha mambo yao...
Unadanganyika na mamlaka Hakuna kitu pale kwani alikuwepo alikuwa anafanya nini.

Sent from my SM-G928I using JamiiForums mobile app
 
Hatua nane mbele tunarudi kumi nyuma kisha tunajipongeza.. Kazi sana kufikia nchi ya ahadi
chadema ndiyo wanarudi hatua kumi nyuma baada ya hatua mbii mbele ccm mbelekwambele mtaisoma namba
 


Nimependa kwamba ni rika langu lakini hapa tutegemee "shikamoo Mama" tu. Kusaidia serikali sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…