Mimi.
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 2,120
- 3,059
Chadema wamemteua Halima James Mdee kugombea uspika!
Bora huyu kuliko Yule betina CCM wameshusha Hadhi ya bunge nilikua shabiki wa samiha Suluhu Hassan sasa hivi namuona kitofauti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema wamemteua Halima James Mdee kugombea uspika!
Tatizo uliwekeza matumaini kwa kitu cha ovyo kiitwacho ccm!Kuna mambo yanaudhi!
Juu zaidi...Akina baba tupo tunawa angalia kwa bashashaWanawake wote juuuuu.
Wanaume mtajua tu wenyewe mko wapi sitaki ugomvi.
Huyu ndo alisema sio lazima serikali ifuate ushauri unaotelo na bunge .sasa kuna spika hapo au ni full kujipendekazaSeems she was well prepared [emoji6], "haitokei hivi hivi, hivi vitu vinapangwa mnajiangaisha bure" in JPM voice ... Dr Tulia anaweza kuwa bora kuliko Ndugai lakini hataweza kutupa bunge bora (Pascal Mayala, 2022).
Sijui watu wanachukuliaje madaraka ya Rais wa nchiiHivi kweli mkuu, kuna nani wewe unadhani anaweza kupingana na executive? nchi hii Tanzania. kwa uhalisia kabisa.
Binafsi, ningeshangaa sana kama wasingempitisha Dr. Tulia.
Ana watoto wangapi?
Naona nchi ishakuwa ya wamama hii
Ni kweli. Kusimamia Bunge ili lisiwe kikwazo kwa serikali.CHADEMA mbona haipo bungeni. Halafu speaker hachaguliwi tu kuikomesha CHADEMA Bali kuisimamia bunge.
InatishaNaibu speaker aliekuwa anazuia Bunge kujadili masuala ya ufisadi Bungeni hafai kuwa speaker.
View attachment 2089540
Lazima Mbeya ijae furaha maana sasa itakuwa kama KongwaMbeya Leo Ni furahaaa
Wapo wawili... Bado ni wadogo umri wa watoto wa shule ya msingi. Ipo Video YouTube akiwatambulisha Kipindi cha Kampeni za Uchaguzi.Ana watoto wangapi?
Ahaaa utozea mkuu,kama FinlandHii Nchi imekuwa kikoba cha kina mama sasa
Ana Makinda vp naye umemsahau?Kuna watu naona ni wagumu kuelewa...kwa heri mkuu, tuendelee kufanya ishu nyingine