Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Seems she was well prepared [emoji6], "haitokei hivi hivi, hivi vitu vinapangwa mnajiangaisha bure" in JPM voice ... Dr Tulia anaweza kuwa bora kuliko Ndugai lakini hataweza kutupa bunge bora (Pascal Mayala, 2022).
Huyu ndo alisema sio lazima serikali ifuate ushauri unaotelo na bunge .sasa kuna spika hapo au ni full kujipendekaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mumeshiba? Ndioooooooooo…Je Muna njaaaa? ndioooooooo….
 

Tabasamu la Tulia
 
Sioni akipata 99.9% ya kura na hapa Sura ya mpasuko uliopo ndio itajulikana. Wait and see the struggle is real...
 
Tumeambiwa dkt tulia Ndiye Mgombea pekee aliyepitishwa na ccm kugombea au kuwania uspika
Swali langu ni anagombea uspika against nan???,amepitishwa kugombea au amepitishwa kuwa spika??
Naomba kuwasilisha
 
Wabunge theluthi mbili wasipompigia kura ya NDIYO, mchakato unaanza upya.
 
Back
Top Bottom