Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinafiki?Kwenu mnajengewa flyover ya Busisi baharini, halafu tuliomtuma wajinga nyie mnasema ni unafiki!Tulia eti nae anahoji kinafiki kama kweli ni anauchungu na changamoto za miundombinu za mbeya
Alikuwa na haraka ya ku-post Mkuu. Nadhani alimaanisha Ranch.Ndio kitu gani hicho?
Brother Shikamoo!Uko sahihi nikiwa na Drive kwenda kwetu Makete kupitia Mbeya(Uyole - Isyonje- Igoma- Kitulo) nikivuka Daraja la Igawa tu napunguza speed mpaka 60km/hr. Barabara ni chakavu sana
Sio pesa ila vipaombele,ukiwa na pesa kiduchu unawekeza panapozalisha zaidiSasa si hela mwanawane ndio shida nadhani hapo.Unachosema upo sawa kabisa
Hahaha Yaani una acha barabara yenye uchumi wa Tanzania Kwa kupeleka mizigo nchi tano ikiwa ni line moja tena nyembamba na chakavu unaenda kujenga daraja la Busisi kwenda ukweni sengerema kwa bilioni 700. Kweli yule mzee muache tu afeMwezi uliopita!
Igawa-Mbeya ni Mbovu sana,
Mbeya Tunduma ni Mbovu zaidi-pali Isambi-Mbalizi barabara ya kimataifa sasa ni one way , one lane!
Halafu tunasema serikali ipo, huku inajenga flyover baharini na Busisi.
Ile ya kujenga daraja la Busisi wakati barabara ya kwenda Malawi, ZAmbia, Congo, Zimbabwe hadi Africa Kusini na nchi zote za SADCC inaharibika mpaka leo silielewi katika uongozi wa Magufuli!Hahaha Yaani una acha barabara yenye uchumi wa Tanzania Kwa kupeleka mizigo nchi tano ikiwa ni line moja tena nyembamba na chakavu unaenda kujenga daraja la Busisi kwenda ukweni sengerema kwa bilioni 700. Kweli yule mzee muache tu afe
Akili za lile jamaa ni zero kabisa,hata hicho ki sgr ni yaleyale tuu.Nashauri mama apunguze bajeti kwenye hayo mamiradi upuuzi Ili pesa ikafanye mambo ya msingiHahaha Yaani una acha barabara yenye uchumi wa Tanzania Kwa kupeleka mizigo nchi tano ikiwa ni line moja tena nyembamba na chakavu unaenda kujenga daraja la Busisi kwenda ukweni sengerema kwa bilioni 700. Kweli yule mzee muache tu afe
Tulia pia haelewi fahamu zilipotea na sasa zinaanza kurudiIle ya kujenga daraja la Busisi wakati barabara ya kwenda Malawi, ZAmbia, Congo, Zimbabwe hadi Africa Kusini na nchi zote za SADCC inaharibika mpaka leo silielewi katika uongozi wa Magufuli!
Hata kama ni chuki kwa Mbeya lakini hili lilipitiliza.
Inabidi Tulia ajitahidi ama sivyo Mbeya ni ngumu sana kama hajapata matokeo chanya.Tulia pia haelewi fahamu zilipotea na sasa zinaanza kurudi