Dkt. Tulia Ackson: Ilani inasema barabara ya Tanzam upembuzi yakinifu umekamilika Serikali inasema utafanyika mwakani. Tuiamini CCM au Wizara?

Dkt. Tulia Ackson: Ilani inasema barabara ya Tanzam upembuzi yakinifu umekamilika Serikali inasema utafanyika mwakani. Tuiamini CCM au Wizara?

Tulia eti nae anahoji kinafiki kama kweli ni anauchungu na changamoto za miundombinu za mbeya
 
Tulia eti nae anahoji kinafiki kama kweli ni anauchungu na changamoto za miundombinu za mbeya
Kinafiki?Kwenu mnajengewa flyover ya Busisi baharini, halafu tuliomtuma wajinga nyie mnasema ni unafiki!
Mlilelewa na Mwendazake kuiba msipopanda!
 
Uko sahihi nikiwa na Drive kwenda kwetu Makete kupitia Mbeya(Uyole - Isyonje- Igoma- Kitulo) nikivuka Daraja la Igawa tu napunguza speed mpaka 60km/hr. Barabara ni chakavu sana
Brother Shikamoo!
 
Tulia,tulia usilete usumbufu. Tulia vizuri utafakari maana naona kama akili inakaa mahali pake. Ujasiri huo wa kuihoji na kuielekeza serikali umeutoa wapi wewe Tulia. Tulia tulizana maana Mbea ndio itaondoka unaiona ileeeeeeee.

Acha mchezo wa kutumatuma picha,kuandaa vitafrija vyako hela zitaliwa bure upate presha. Tulia jipange hakuna tena atakaye kupigania jipange Tulia mambo ya picha mtandaoni waachie wasanii
 
Tz huenda tukapitwa hata na Uganda na burundi na rwanda yaan hatuna muelekeo mathubuti tuna pelekwa pelekwa tu ...kwan nani alikuja na. Ilo wazo. La iyo barabara
 
Mwezi uliopita!
Igawa-Mbeya ni Mbovu sana,
Mbeya Tunduma ni Mbovu zaidi-pali Isambi-Mbalizi barabara ya kimataifa sasa ni one way , one lane!

Halafu tunasema serikali ipo, huku inajenga flyover baharini na Busisi.
Hahaha Yaani una acha barabara yenye uchumi wa Tanzania Kwa kupeleka mizigo nchi tano ikiwa ni line moja tena nyembamba na chakavu unaenda kujenga daraja la Busisi kwenda ukweni sengerema kwa bilioni 700. Kweli yule mzee muache tu afe
 
Ile ya kujenga daraja la Busisi wakati barabara ya kwenda Malawi, ZAmbia, Congo, Zimbabwe hadi Africa Kusini na nchi zote za SADCC inaharibika mpaka leo silielewi katika uongozi wa Magufuli!

Hata kama ni chuki kwa Mbeya lakini hili lilipitiliza.
 
Vitu vingine ni vya ajabu kwan yy hakusoma iyo ilani tangia ina andaliwa ..ndio anakumbuka leo ?
 
Hahaha Yaani una acha barabara yenye uchumi wa Tanzania Kwa kupeleka mizigo nchi tano ikiwa ni line moja tena nyembamba na chakavu unaenda kujenga daraja la Busisi kwenda ukweni sengerema kwa bilioni 700. Kweli yule mzee muache tu afe
Akili za lile jamaa ni zero kabisa,hata hicho ki sgr ni yaleyale tuu.Nashauri mama apunguze bajeti kwenye hayo mamiradi upuuzi Ili pesa ikafanye mambo ya msingi
 
Ile ya kujenga daraja la Busisi wakati barabara ya kwenda Malawi, ZAmbia, Congo, Zimbabwe hadi Africa Kusini na nchi zote za SADCC inaharibika mpaka leo silielewi katika uongozi wa Magufuli!

Hata kama ni chuki kwa Mbeya lakini hili lilipitiliza.
Tulia pia haelewi fahamu zilipotea na sasa zinaanza kurudi
 
Back
Top Bottom