Dkt. Tulia Ackson: Mshahara wa Mbunge ni Tsh milioni 4.6 na sio vinginevyo

Nikweli mtaalamu ana PHD anaacha kwenda kufanya kazi kwenye mashirika au compuni zingine zenye maishahara minono end ekwenye ubunge hauna kituuu!!.

Sio kqweli kuna vivutio fulani na maruprupu kibao ndio yanayo mfanya wasomi wote kukimbilia huko na kuhonga na kila kitu.
 
Mbuge wao aliyepokea mishahara miezi yote hiyo anasema kodi haikatwi cjui yy anaongelea wabunge wa nchi gan wanaokatwa kodi lipeni kodi bac
 
Hivi professor muhongo na musukuma mishahara yao ni sawa? Hamko seriously!
 
Hao watumishi wa mbunge yaani driver na mtumishi wanalipiwa kodi na mbunge? Na hizo zinazoitwa posho zinalipiwa kodi? Kiuhasibu posho zinastahili kulipwa kodi isipokuwa kama matumizi yake yana risiti. Kwa maana nyingine wabunge hawalipi kodi chini ya viwango stahiki.
 
Tz hakuna wasomi..kuna watu waliokaa chuoni mda mrefu na kujipa majina makubwa..dk..prof
 
Tulia bhana!haufai kuolewa Kama alovyosema Rais hsuna maziwa,muongo muongo mla rushwa mabilioni uliyogawa mbeya ilitoa wapi?
Ulilipia Kodi ya uzalendo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…