Semahengere
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,186
- 1,966
Atupie salary slip Moja hapo tujiridhishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye mwenyewe mnufaika hawezi akakubali,lakini pia kama mchanganuo ndiyo huo kwanini zipitie kwa mbunge hata hizo ambazo siyo zake?mbona hatujawahi kufanya mkutano majimboni kuelezea matumizi ya hizo pesa?Ktk kipidi cha ITV Dk 45, mambo yabwagwa hadharani.
Hivi punde akihojiwa ktk kipidi hicho, Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania Mheshimiwa Dr Tulia Ackson, amedai mshahara wa Mbunge ni milioni 4.6 tu. Anakatwa Kodi Tsh 1500,000 na kubakiwa na Tsh 3100,000.
Ameendelea kudai posho ya kikao ni Tsh 120,000. Pia Kuna posho ya kumlipa Dereva na Katibu wa Mbunge na posho ya mafuta. Pia Kuna mfuko wa Jimbo.
Watu wa nje ya Bunge wakipiga hesabu wanadai ni Tsh 11,0000,000 jambo ambalo sio kweli. Hizo hela zinapita kwa Mbunge japo zote sio zake.
Kwa kauli hii ya Naibu spika wa Bunge ni dhahiri kuwa wabunge wanakatwa Kodi tofauti na uvumi uliopo mtaani.
Kuhudhuria kikao bungeni ni wajibu wa mbunge kwanini analipwa posho wakati ni sehemu ya majukumu yake?Kazi ya Mbunge inayomfanya alipwe 4m ni ipi hadi kumfanya alipwe tena 120k kama posho ya kikao? Juzi juzi Waziri Mkuu kaenda Wizara ya fedha na kuwasimamisha watu kwa sababu wamejilipa posho kwa kukaa kikao ambacho wanatekeleza sehemu ya majukumu yao, Wabunge wao ni special case ama!
Kuna kuijua dini na kumjua Mungu, ukimjua Mungu utamwogopa na kuhakikisha unajitahidi kutenda haki ila ukiijua dini tu ni shida.!
Aisee!.Kwanini alipwe pesa za mfuko wa jimbo (za umma) ziwekwe kwenye akaunti ya mtu binafsi (mbunge mwenyewe). Kwanini mbunge amlipe katibu wake kwa kwa kutumia pesa za umma huku hiyo nafasi upatikanaji wake hauwi wa ushindani? na huyo dereva wa mbunge huwa anapatikana kwa mchakato upi wa ajira?
We Acha tu, hii nchi ina mambo ya hovyo sanaKwanini alipwe pesa za mfuko wa jimbo (za umma) ziwekwe kwenye akaunti ya mtu binafsi (mbunge mwenyewe). Kwanini mbunge amlipe katibu wake kwa kwa kutumia pesa za umma huku hiyo nafasi upatikanaji wake hauwi wa ushindani? na huyo dereva wa mbunge huwa anapatikana kwa mchakato upi wa ajira?
Kwanini madereva wasiajiriwe kama alivyo dereva wa dcWanatuaminisha kuwa Makati bu na madreva hawatakiwi kupata ajira ya kudumu pia hawatakiwi kulipa kodi.?
Kwenye posho ccm na cdm huwa kitu kimojaHapa kama taifa tunahitaji kujua kama taasisi hii mhimu ya watunga sera kama wanalipa kodi stahiki. Tunaposema kodi stahiki ieleweke ni kodi halali na ambayo inatokana na malipo yote yanayounda mshahara. Kuna taarifa zinadai mbunge anapokea pesa inayopindukia Tsh 13000000/= na katika pesa hiyo inayokatwa kodi ni Tsh 4600000/= huku zaidi ya Tsh 8000000/= zikiwa hazikatwi kodi kwa kile kinachoitwa ni marupurupu, posho na pesa za dereva na mfuko wa jimbo. Swali kwani dereva wa mbunge haruhusiwi kulipa kodi? katibu wa mbunge haruhusiwi kulipa kodi?
Kwa sasa tunaomba tuwasikie waliokuwa wabunge wa upinzani maana wengi wao wamekuwepo bungeni kwa zaidi ya miaka kumi na wanauzoefu wa kutosha. Zitto Kabwe na washirika wa Chadema wakiwemo BAVICHA Taifa pamoja na rafiki yangu James Mbatia wa NCCR Mageuzi. Tunaomba mtujibu kama kweli wabunge wa bunge la JMT wanalipa kodi stahiki.
Wakikujibu basi ujue hata adhabu ikliyotolewa kwa wabunge itatenguliwa.......lakini kwa vile wanatamani kuwemo humo ili wanufaike na mikoba ya fedha hatafungua akili na kunena chochote maana hoja zao zina nguvu sana kulingana na namna mwenendo wa sula husika ulivyokuwa ukienda.Hapa kama taifa tunahitaji kujua kama taasisi hii mhimu ya watunga sera kama wanalipa kodi stahiki. Tunaposema kodi stahiki ieleweke ni kodi halali na ambayo inatokana na malipo yote yanayounda mshahara. Kuna taarifa zinadai mbunge anapokea pesa inayopindukia Tsh 13000000/= na katika pesa hiyo inayokatwa kodi ni Tsh 4600000/= huku zaidi ya Tsh 8000000/= zikiwa hazikatwi kodi kwa kile kinachoitwa ni marupurupu, posho na pesa za dereva na mfuko wa jimbo. Swali kwani dereva wa mbunge haruhusiwi kulipa kodi? katibu wa mbunge haruhusiwi kulipa kodi?
Kwa sasa tunaomba tuwasikie waliokuwa wabunge wa upinzani maana wengi wao wamekuwepo bungeni kwa zaidi ya miaka kumi na wanauzoefu wa kutosha. Zitto Kabwe na washirika wa Chadema wakiwemo BAVICHA Taifa pamoja na rafiki yangu James Mbatia wa NCCR Mageuzi. Tunaomba mtujibu kama kweli wabunge wa bunge la JMT wanalipa kodi stahiki.
Mi nampenda sana, binti huyoSijui kwanini simpendi huyu Mama.
Sikuwahi kufikiri Mbunge analipwa mshahara ili naye tena amlipe Dereva! Haki za Dereva zipoje?Yeye mwenyewe mnufaika hawezi akakubali,lakini pia kama mchanganuo ndiyo huo kwanini zipitie kwa mbunge hata hizo ambazo siyo zake?mbona hatujawahi kufanya mkutano majimboni kuelezea matumizi ya hizo pesa?
Wale wanatunga sheria za kukandamiza wanaowaongoza haiwezekani wakutungia sheria yenye kukupa kinga ya maslahi yako kamweSikuwahi kufikiri Mbunge analipwa mshahara ili naye tena amlipe Dereva! Haki za Dereva zipoje?
Na G$laa ni mbunge inamaana hajui kuisoma salary lala yake?mbona mnaupiga mwingi hivyo mpaka mnatoa conaKwa kauli yake mbunge Jery slaa alisema kabisa kuwa wabunge hawalipi kodi kabisa .
Sasa huyu anataka kumdanganya nani ambaye atamuamini?
Huyu demu choko sana....... Hawa dawa yao ni HAMZA tu.....Kama hakuna maslahi kwenye Ubunge, kwa nini wanatumia mbinu chafu kuingia Bungen? Kwa kuiba kura, kutumia uchawi, kupiga na kujeruhi wapinzani wao, kutumia wakirugenzi kupora ushindi
Weka salary slip, tuone kama wanalipa kodiKtk kipidi cha ITV Dk 45, mambo yabwagwa hadharani.
Hivi punde akihojiwa ktk kipidi hicho, Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania Mheshimiwa Dr Tulia Ackson, amedai mshahara wa Mbunge ni milioni 4.6 tu. Anakatwa Kodi Tsh 1500,000 na kubakiwa na Tsh 3100,000.
Ameendelea kudai posho ya kikao ni Tsh 120,000. Pia Kuna posho ya kumlipa Dereva na Katibu wa Mbunge na posho ya mafuta. Pia Kuna mfuko wa Jimbo.
Watu wa nje ya Bunge wakipiga hesabu wanadai ni Tsh 11,0000,000 jambo ambalo sio kweli. Hizo hela zinapita kwa Mbunge japo zote sio zake.
Kwa kauli hii ya Naibu spika wa Bunge ni dhahiri kuwa wabunge wanakatwa Kodi tofauti na uvumi uliopo mtaani.