Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
- Thread starter
- #21
Sijui Kama yupo humuKwanza atwambie hivi zile fedha alikuwa anazimwaga alimuwa anazipata wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui Kama yupo humuKwanza atwambie hivi zile fedha alikuwa anazimwaga alimuwa anazipata wapi?
DuuuuuhhhCorruption!!!!!. Mimi simsikilizi mdomoni, kwani vinywa vyao hutoa uozo. Labda nitamuona mkweli akiongea kwa makalio.
Kama hakuna maslahi kwenye Ubunge, kwa nini wanatumia mbinu chafu kuingia Bungen? Kwa kuiba kura, kutumia uchawi, kupiga na kujeruhi wapinzani wao, kutumia wakirugenzi kupora ushindiKtk kipidi cha ITV Dk 45, mambo yabwagwa hadharani.
Hivi punde akihojiwa ktk kipidi hicho, Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania Mheshimiwa Dr Tulia Ackson, amedai mshahara wa Mbunge ni milioni 4.6 tu. Anakatwa Kodi Tsh 1500,000 na kubakiwa na Tsh 3100,000.
Ameendelea kudai posho ya kikao ni Tsh 120,000. Pia Kuna posho ya kumlipa Dereva na Katibu wa Mbunge na posho ya mafuta. Pia Kuna mfuko wa Jimbo.
Watu wa nje ya Bunge wakipiga hesabu wanadai ni Tsh 11,0000,000 jambo ambalo sio kweli. Hizo hela zinapita kwa Mbunge japo zote sio zake.
Kwa kauli hii ya Naibu spika wa Bunge ni dhahiri kuwa wabunge wanakatwa Kodi tofauti na uvumi uliopo mtaani.
Yule alivyo sidhani kama hata ana mpango wa social mediaSijui Kama yupo humu
Kaka acha uonevu, kwani kuna makalio pale?!Corruption!!!!!. Mimi simsikilizi mdomoni, kwani vinywa vyao hutoa uozo. Labda nitamuona mkweli akiongea kwa makalio.
Swala ni kwanini zipite kwa mbunge na zisiende moja kwa moja kwa walengwa ili kuongeza ajira?Ktk kipidi cha ITV Dk 45, mambo yabwagwa hadharani.
Hivi punde akihojiwa ktk kipidi hicho, Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania Mheshimiwa Dr Tulia Ackson, amedai mshahara wa Mbunge ni milioni 4.6 tu. Anakatwa Kodi Tsh 1500,000 na kubakiwa na Tsh 3100,000.
Ameendelea kudai posho ya kikao ni Tsh 120,000. Pia Kuna posho ya kumlipa Dereva na Katibu wa Mbunge na posho ya mafuta. Pia Kuna mfuko wa Jimbo.
Watu wa nje ya Bunge wakipiga hesabu wanadai ni Tsh 11,0000,000 jambo ambalo sio kweli. Hizo hela zinapita kwa Mbunge japo zote sio zake.
Kwa kauli hii ya Naibu spika wa Bunge ni dhahiri kuwa wabunge wanakatwa Kodi tofauti na uvumi uliopo mtaani.
Angalau CCM ina track records za kuaminika kwakua imeiweka nchi hii intact na kubafilisha viongozi kutoka makabila na makundi mbalimbali ya jamii...Hivyo vingine nipe records zake kwenye governance na democracy!Umeonaeeeee?
Hawajawahi kuaminika na kamwe hawataaminika
Kodi hukatwa mshahara pamoja na posho.Ktk kipidi cha ITV Dk 45, mambo yabwagwa hadharani.
Hivi punde akihojiwa ktk kipidi hicho, Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania Mheshimiwa Dr Tulia Ackson, amedai mshahara wa Mbunge ni milioni 4.6 tu. Anakatwa Kodi Tsh 1500,000 na kubakiwa na Tsh 3100,000.
Ameendelea kudai posho ya kikao ni Tsh 120,000. Pia Kuna posho ya kumlipa Dereva na Katibu wa Mbunge na posho ya mafuta. Pia Kuna mfuko wa Jimbo.
Watu wa nje ya Bunge wakipiga hesabu wanadai ni Tsh 11,0000,000 jambo ambalo sio kweli. Hizo hela zinapita kwa Mbunge japo zote sio zake.
Kwa kauli hii ya Naibu spika wa Bunge ni dhahiri kuwa wabunge wanakatwa Kodi tofauti na uvumi uliopo mtaani.
Hivi hatuwezi kuwaomba Wabunge wetu jimboni wakatuonyesha?Mimi siamini mpaka niione Salary Slip ya Mbunge!