King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Ndyo nani huyo?
2cry.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndyo nani huyo?
Maswali yako ni mazuri sana atakayeweza kuyajibu nitaamini kwamba dunia imetundikwa na kuning'inia kwenye kamba nyembamba hewaniKwanini alipwe pesa za mfuko wa jimbo (za umma) ziwekwe kwenye akaunti ya mtu binafsi (mbunge mwenyewe). Kwanini mbunge amlipe katibu wake kwa kwa kutumia pesa za umma huku hiyo nafasi upatikanaji wake hauwi wa ushindani? na huyo dereva wa mbunge huwa anapatikana kwa mchakato upi wa ajira?
HILI LAKO JIPYA- LILETE KIKAO KINGINE- LEO TUNAJADILI KAMA WANAKATWA KODI AU HAWAKATWI?Nimemsikiliza akiongea anaonekana kuwaaminisha watu wabunge hawapati kingi kama wakurugenzi wengine kwenye mashirika ya umma.
Lakini anasahau kwa idadi ya wabunge mara hizo posho na mishahara bado hesabu inakuwa kubwa, amesema wabunge pamoja na waziri mkuu wanafika 395 ukipiga mara hizo figure utaona wanavyolifanya taifa kuzidi kuwa masikini.
Kigezo kingine alichotumia ku-justify hizo posho zao amesema hata wafanyakazi wengine wa umma wakisafiri hulipwa pesa za usafiri na gharama nyingine.
Lakini tunaona hawa wafanyakazi huwa wanacheleweshewa posho zao wakati mwingine hawapati mpaka wanafika vituo vyao vya kazi, na hata mishahara huchelewa, hili kwa wabunge haliwezi tokea.
Issue nyingine aliyozungumzia kuhusu wabunge 19 waliokuwa wa Chadema, anasema Chadema ndio wanatakiwa kumaliza taratibu zao ndani ya chama ndio bunge liwaondoe au lah.
Hapa Tulia anajua fika mtu akishaadhibiwa adhabu yake huanza kutekelezwa pale inapotolewa, sio mpaka atakapokata rufaa either akishinda ndio asiadhibiwe, au akishinda ndio aadhibiwe, na KM wa Chadema alishawaandikia barua kuwajulisha kuhusu hilo, lakini nashangaa bado wanakuwa wagumu kuelewa.
Nchini kwetu kuna utulivu kwa sababu ya UOGA. Lakini hakuna amaniAngalau CCM ina track records za kuaminika kwakua imeiweka nchi hii intact na kubafilisha viongozi kutoka makabila na makundi mbalimbali ya jamii...Hivyo vingine nipe records zake kwenye governance na democracy!
Amani ipo mkuu tena sana,ila inategemea na lifestyle yako.Nchini kwetu kuna utulivu kwa sababu ya UOGA. Lakini hakuna amani
Ccm ni mafundi wa ufisadi wa kura na kulaAngalau CCM ina track records za kuaminika kwakua imeiweka nchi hii intact na kubafilisha viongozi kutoka makabila na makundi mbalimbali ya jamii...Hivyo vingine nipe records zake kwenye governance na democracy!
Unamjua wewe huyoCcm bila ya magufuli ni mafiii ya kuku
Jerry ni mtu wa nje??? Siyo mbunge ??Watu wa nje ya Bunge wakipiga hesabu wanadai ni Tsh 11,0000,000 jambo ambalo sio kweli.
Na vipi kama Mbunge hana dereva, anajiendesha mwenyewe au anapanda bodaboda, hiyo posho ya dereva anairudisha?Kwanini alipwe pesa za mfuko wa jimbo (za umma) ziwekwe kwenye akaunti ya mtu binafsi (mbunge mwenyewe). Kwanini mbunge amlipe katibu wake kwa kwa kutumia pesa za umma huku hiyo nafasi upatikanaji wake hauwi wa ushindani? na huyo dereva wa mbunge huwa anapatikana kwa mchakato upi wa ajira?
Kwanini katibu wa mbunge na dereva wasilipwe na bunge direct kama watumishi wengine? hapa kuna maswali mengi sn ya kujiuliza, basi na katibu wa RC na dereva nao walipwe na RC badala ya serikaliKtk kipidi cha ITV Dk 45, mambo yabwagwa hadharani.
Hivi punde akihojiwa ktk kipidi hicho, Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania Mheshimiwa Dr Tulia Ackson, amedai mshahara wa Mbunge ni milioni 4.6 tu. Anakatwa Kodi Tsh 1500,000 na kubakiwa na Tsh 3100,000.
Ameendelea kudai posho ya kikao ni Tsh 120,000. Pia Kuna posho ya kumlipa Dereva na Katibu wa Mbunge na posho ya mafuta. Pia Kuna mfuko wa Jimbo.
Watu wa nje ya Bunge wakipiga hesabu wanadai ni Tsh 11,0000,000 jambo ambalo sio kweli. Hizo hela zinapita kwa Mbunge japo zote sio zake.
Kwa kauli hii ya Naibu spika wa Bunge ni dhahiri kuwa wabunge wanakatwa Kodi tofauti na uvumi uliopo mtaani.
Ktk kipidi cha ITV Dk 45, mambo yabwagwa hadharani.