Dkt. Tulia Ackson umetuinua Waafrika na kuwaonyesha watu wa mabara mengine kuwa Mtanzania si wa kumchezea

Watz wa kolomije hao
 
Sio Siri madam speaker aliupiga mwingi Sana ☺️
 
Hivi watanzania tulilaaniwa? Kuna kitu gani cha maana alisema? Mnasifia hata vitu visivyostahili! Uliangalia bunge la Kenya ukaona lilivyo na watu wenye kujua kujenga hoja?
 
Kuna watu hasa wale waandamanaji, wanajipeleka ulaya kinyonge na kutegemea kufadhiliwa,.
Ukiwa na unyonge wa moyo na ni tegemezi, huwezi ongea kama Dr Tulia alivyoongea.
Tanzania imefika hapa ilipo kwa sababu ya kuwa na watu wajinga kama wewe. Ndiyo maana viongozi wetu wanafanya vitu vya hovyo kabisa kwa sababu ya kusifiwa wanapofanya mambo yasiyostahili sifa. Tanzania ina jeuri ya kutokuomba misaada?
 

Punguza sifa za kijinga wewe chawa
 
Kuna watu hasa wale waandamanaji, wanajipeleka ulaya kinyonge na kutegemea kufadhiliwa,.
Ukiwa na unyonge wa moyo na ni tegemezi, huwezi ongea kama Dr Tulia alivyoongea.

Aliongea Nini zaidi ya kujiabisha na kujishusha Kama vile Sio kiongozi wa bunge. Sidhani Kama watarudia kumchagua kilaza Kama huyo Tena.
 
Mwalimu Via Heathrow Airport from USA to Dsm, aliwakuta waandishi wa habari hapo. Wakamuuliza "je utakwenda kumuona PM lkulu?"
Akasema haendi.
Wakomwongeza swali "Lakini kutoka Heathrow hadi lkulu si mbali mbona?"
Akawajibu wale wazungu kuwa....hata kutoka lkulu hadi hapa (Heathrow) si mbali.
Mwalimu kamwe hakumwogopa Mzungu. Aliwanyoosha kweli kweli.
Nimemuona Nyerere katika umbo la kijana Tulia Ackson Mwansasu. Big up sanaaa.
Hakika amewanyorosha.
 

Alifanya vizuri kuongea vile lakini hii isiwe kiki! lile ni bunge na kupandishana mizuka ni kawaida. Hili sio swala la kuwa kama kiki. Tusitafute vita ambayo haipo. Kuna tatizo la ubaguzi lakini tujue wengi wa hao wazungu sio wabaguzi wengi walimuunga mkono ingawa ubaguzi upo. Kwa sisi diaspora tunajua ubaguzi upo lakini ujue sio kila mzungu mbaguzi hao hao wazungu wengine ndiyo wanaweza kukutoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…