Dkt. Tulia aitetemesha Mbeya. Atua kijeshi na ndege ya Jeshi

Hapana lucas nimecheki hiyo video, mbona watu sio wengi kama unavyo exaggerate hapa. By the way wengi wamekuja kuishangaa hiyo Airbus A225 LP , kitu ambacho hata mimi ningeenda kuiona.
Itizame video yote ambayo ni ya kama dk 7-9 angalia kuanzia ndege inapotua mpaka anapokwenda kupanda jukwaa kuu mahali alipoandaliwa kukaa, uone namna watu walivyomiminika mpaka kukosekana nafasi ya sisiminzi kuweza kupenyeza mwili wake. Ni mapokezi ya kihistoria na yaliyoacha kumbukumbu isiyo futika.
 
Hawa watu wa kimataifa wamchukuwe kabisa aondoke kwenye bunge leo tupate spika anaye elewa umuhimu wa katiba mpya
 
Kwenye Nchi Ya Vipofu, Chongo Akiongoza Ana Nafuu
By Julius K Nyerere
 
Hivi huu muda wa kuandika huu upuuzi ungeutumia kutafuta ngawira ungekuwa mbali sana kimaisha.Unafukuzia teuzi lakini wanakuona wewe ni mpumbavu tu.
Kwani nani kakwambia kuwa sifanyi kazi ndugu yangu. Kwani ningepata wapi pesa ya vocha bila kufanya kazi?.au kuna duka umesikia linagawa vocha bure?
 
Hawa watu wa kimataifa wamchukuwe kabisa aondoke kwenye bunge leo tupate spika anaye elewa umuhimu wa katiba mpya
Dr Tulia amekuwa msaada mkubwa sana ndani ya bunge letu katika masuala yote yahusuyo sheria.ni mtetezi wa wanyonge ndani ya bunge na nje ya bunge.ndio maana anatetea kila mtu mwenye kuonewa bila kujali ni wa jimbo gani.nafikiri unakumbuka hapa majuzi alivyowatetea walimu wa kule Tunduma mkoani Songwe waliokuwa wamevuliwa vyeo vyao vya ualimu mkuu
 
Walimiminika kushangaa ndege ya kijeshi, km kipindi kile Cha my Lowasa kushangaa helicopta[emoji3][emoji3]
Embu nenda na ndege yako na wewe uone kama watakuja kukushangaa. Mbeya na wanambeya wanaanza kuziona ndege tangia wakiwa watoto wadogo maana pale palikuwa na uwanja wa ndege na sasa upo Songwe wa kimataifa ambapo siyo mbali kutoka Mbeya mjini,.sasa nani aanze kushangaa ndege wakati wanaziona kila siku? Wanambeya kwa maelfu yao walimiminika kumpokea Dr Tulia kutokana na upendo mkubwa walio nao kwake. Hii inatokana na kazi kubwa aliyofanya jimboni kwake iliyogusa mioyo ya wengi.
 
hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kumchagua Tulia na roho yake mbaya kama sura yake
Sikiliza wewe shetani na mvuta bangi uliye kubuhu kama mwenziyo SAGAI GALGANO. Ni kuwa Dr Tulia hana wa kumtikisa wala kumpa upinzani wala kumtetelesha katika kushinda ubunge wa jimbo la Mbeya mjini .Dr Tulia ndio chaguo la wanambeya. ndio maana unaona waliojaribu kuitisha maandamano mkoani Mbeya wamevuna aibu ya mwaka na kuishia kujificha vichakani kama panya
 
Barabara za njia nne zinakwenda kuanza kujengwa muda siyo mrefu maana kila kitu kipo tayari na fedha zipo tayari.kaaa mkao wa kula uchangamkie fursa za kupata ajira au kufanya biashara ujenzi utakapo anza . barabara za mitaa nazo zinakwenda kutandazwa kama mkeka kuzunguka jiji lote.
 
Huyo hachaguliki labda kwa mtutu wa bunduki kama enzi zile za utawala wa giza. Unanitajataja sana hebu weka picha yako kama unafaa kwa matumizi ya usiku nikutumie nauli,maana ni thawab kuwafariji mama wajane kama wewe.
 
Huyo hachaguliki labda kwa mtutu wa bunduki kama enzi zile za utawala wa giza. Unanitajataja sana hebu weka picha yako kama unafaa kwa matumizi ya usiku nikutumie nauli,maana ni thawab kuwafariji mama wajane kama wewe.
Ukiwa umevuta mibangi yako na kulewa gongo zako ulisema kuwa hawezi kushinda urais wa IPU. Lakini ukiwa na macho yako uliona alivyoshinda kwa kishindoo kilichoitetemesha Dunia nzima ,na matokeo yake ukakimbia na kuhamisha magoli.kwa hiyo hata haya unauoyazungumza hapa hata wewe unafahamu kuwa Dr Tulia ndio chaguo la wana Mbeya na ndiye anayekwenda kuzoa kura zote jijini Mbeya. Wewe andaa tu mibangi yako ili ukawage unavuta kupunguza maumivu.
 
Labda wewe na chawa wenzako.
 
Huu ushauri au lawama?
 
Ndege ya jeshi inambebaje spika??? Aibu kubwa
 
Ndege ya jeshi inambebaje spika??? Aibu kubwa
Ndege ni mali ya jeshi la wananchi wa Tanzania na Dr Tulia ni mwananchi wa Tanzania na ni Mtanzania kwa kuzaliwa nasiyo mkimbizi. Dr Tulia ni mbunge,speaker wa bunge na Rais wa IPU. Nafikiri unenielewa vyema ewe nyumbu na mnafiki mkubwa wewe.
 

Unavyoandika kwamba ujenzi utaanza muda sio mrefu, umeona bango lolote la ujenzi pale Nsalaga ambapo ndio njia nne zitaanza kwa Mbeya mjini?
 
Wewe ni mama mtu mzima lakini sijui kwanini huna akili mpuuzi wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…