Dkt. Tulia aitetemesha Mbeya. Atua kijeshi na ndege ya Jeshi

Mpango wa mungu nil ile mitume iliyokufa
 
Bila picha huo ni UCHAWA NA UNAFIKI
NA MNAFIKI NA MUONGO WACHOMWE MOTO
 
Sijawahi kuzungumzia juu ya yeye kuwa Rais wa IPU. Naona umechanganya mafaili,hizi ni dalili za wenda wazimu.
 
Acha uongo wako hapa wewe.Dr Tulia ni kipenzi cha wanambeya ndio maana watu wamemiminika kwa kishindo kumlaki na kumpokea mtoto wao kipenzi aliyewaheshimisha na kulipatia heshima Taifa
Broo umeonwa kwenye. Loli la ngombe bhna hayo ni kwel lakin
 
Sijawahi kuzungumzia juu ya yeye kuwa Rais wa IPU. Naona umechanganya mafaili,hizi ni dalili za wenda wazimu.
Huwezi ukakumbuka na wala kichwa chako hakiwezi kutunza kumbukumbu,kwa kuwa ulishaathiriwa na moshi wa bangi unazovuta bila kipimo na kunywa migongo kama Mwendawazimu πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Broo umeonwa kwenye. Loli la ngombe bhna hayo ni kwel lakin
Hakuna aliyebebwa wala kushurutishwa kwenda bali watu walienda kwa hiyari yao na upendo wao kwa Dr Tulia.lakin pia ukiona watu wanakubali kupanda magari na kusafiri umbali mrefu kuja kukusikiliza au kumuona kiongozi fulani basi ujuwe kuwa wana imani kubwa sana na huyo kiongo, wanamkubali na kumuunga mkono na ndio maana wanakuwa wapo tayari kuacha shughuli zao ili wakamlaki na kujumuika naye.
 
Huwezi kujua maana umejifanya mtumwa kwa viongozi Ili wakutoe kimaisha. Ila ni bonge la aibu kuishi kwa kujipendekeza.
Mimi naishi kwa jasho langu mwenyewe na siyo kupitia kujipendekeza. Naongea ukweli na wala sioni aibu kumpongeza na kumtia moyo anaye fanya vizuri kazi yake
 
Huwezi ukakumbuka na wala kichwa chako hakiwezi kutunza kumbukumbu,kwa kuwa ulishaathiriwa na moshi wa bangi unazovuta bila kipimo na kunywa migongo kama Mwendawazimu [emoji1][emoji1][emoji1]
Luka uwezo wako ni mdogo sana. Mimi sikujadili kuhusu hiyo nafasi ya Rais wa IPU kwani kwangu mimi ni irrelevant kabisa ndiyo maana sikulijadili. Usilazimishe mambo kwani wewe ni mshabiki kama walivyo washabiki wa Simba na Yanga tu. Nimekudharau sana. Ndiyo maana unajitoa ufahamu kila siku kujaza mabandiko ambayo hayana maudhui zaidi ya ushabiki na unazi. Mimi siko huko kabisa.
 
Mimi naishi kwa jasho langu mwenyewe na siyo kupitia kujipendekeza. Naongea ukweli na wala sioni aibu kumpongeza na kumtia moyo anaye fanya vizuri kazi yake
Hakuna anayeishi kwa jasho lake akawa na tabia za kike hivi.
 
Kwa hiyo wewe kwa mibangi yako unaona kwamba mimatusi yako unayoporomosha humu jukwaani muda wote ndio yana maudhui? Kweli mibangi imekuharibu sana akili na kukupa upofu wa akili na macho. Wewe endelea tu na matibabu yako ya magonjwa ya akili πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…