Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia aitikisa Mbeya mjini akichukua fomu, CHADEMA wahaha

Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia aitikisa Mbeya mjini akichukua fomu, CHADEMA wahaha

Mbona picha za giza tu.

Huyu mtoa rushwa na mikopo watu wa Mbeya wameshakula hela yake ya kifisadi hana jipya
 
Mi nikiona Askari mstaafu anaishi maisha magumu mtaani najua ni malipo ya dhuluma aliyowafanyia raia kipindi cha utumishi wake.
Mungu hana mzaha. We jione kamanda tu kwa kutumikia double standard.
Wanatia huruma sana wala sio siri[emoji25][emoji25],pesa hana wadhifa hana
 
Lumumba mna tabu na hamjielewi kabisaa,lissu akikusanya nyomi mnaishia kusema hao wote sio wapiga kura ila ni vijana tuu wa mtaani walokuja kumshangaa, nyomi hiyohiyo akikusanya betina mnaishia kudai chadema itafutika kwenye ramani. Hamueleweki na hamjielewi.
Hili jina la "BETINA"[emoji27][emoji27][emoji27]
 
Hii Nchi sijui double stand itaisha lini! Sugu alikamatwa na Jeshi la polisi kwa kosa la kufanya maandamano wakati wa kuchukua fomu. Kwanini Tulia hajakamatwa au yeye yuko juu ya sheria!

Delete CCM on 28th October 2020 for the safety of our Nation.
Dawa ni ubaya kwa ubaya hakuna kulala mpk kieleweke
 
Huyo tulia tunapiga hela zake kura hapati mbeya hatuezi ongozwa na mtu mwenye shobo kazi kumshobokea mo an watu tunamsapoti kula hela zake ila kula atapigiwa na familia yake
 
Ina chekesha sana. Maana tulimuona sijui ni Ocd, sijui ni Ocs povu likimtoka kwa Mbunge Sugu, hadi kumtukana kwamba hana heshima. Ati kaitisha maandamano.

Mbaya zaidi hata Rpc alilitolea ufafanuzi ambao ulionekana ni kuibeba Ccm. Sasa mbona hapa kimya.. Au ni mwendelezo uleule wa aliye kuwa Rpc Arusha wa kukata mauno kwenye majukwaa ya Ccm?

Huku IGP ana hadaa watu kwamba polisi hawata kuwa na upendeleo.. Hovyooo
 
Ina chekesha sana. Maana tulimuona sijui ni Ocd, sijui ni Ocs povu likimtoka kwa Mbunge Sugu, hadi kumtukana kwamba hana heshima. Ati kaitisha maandamano. Mbaya zaidi hata Rpc alilitolea ufafanuzi ambao ulionekana ni kuibeba Ccm. Sasa mbona hapa kimya.. Au ni mwendelezo uleule wa aliye kuwa Rpc Arusha wa kukata mauno kwenye majukwaa ya Ccm?
Huku IGP ana hadaa watu kwamba polisi hawata kuwa na upendeleo.. Hovyooo
Jikite kwenye hoja
 
Huyu maza anahangaika bure!! atamponza msimamizi wa uchaguzi huko na Mwenyekiti wa Tume kwa ujumla.

Hilo jimbo hata angekuwa Mwenyekiti wake hapati hata robo ya kura.
 
Ina chekesha sana. Maana tulimuona sijui ni Ocd, sijui ni Ocs povu likimtoka kwa Mbunge Sugu, hadi kumtukana kwamba hana heshima. Ati kaitisha maandamano...
Ni aibu kubwa kwa mapolice...hivi ndiyo vielelezo muhimu sana namna Jeshi la police linavyotumika waziwazi kabisa.
 
Jikite kwenye hoja
Shida yenu ndio hiyo. Hivi mnadhani hii nchi Ccm mna mamlaka kuvunja sheria za nchi? Sheria ina kataza mgombea kutumia mali na watumishi wa serikali kwenye chaguzi.

Rpc katoa magari mawili ya polisi kumsindikiza dada yenu kuchukua fomu. Hivi mkiwekewa pingamizi hao polisi wata wasaidia nini? Ati Tulia ni mwana sheria.. Hata hili dogo hakuliona ni kosa?

Vichwa puff puff. Hata huyo Magufuli na urais wake wote, msafara wake hauku ongozwa na gari za serikali. Tulia yeye ni nani hapa Mbeya?
 
Ina chekesha sana. Maana tulimuona sijui ni Ocd, sijui ni Ocs povu likimtoka kwa Mbunge Sugu, hadi kumtukana kwamba hana heshima. Ati kaitisha maandamano. Mbaya zaidi hata Rpc alilitolea ufafanuzi ambao ulionekana ni kuibeba Ccm. Sasa mbona hapa kimya.. Au ni mwendelezo uleule wa aliye kuwa Rpc Arusha wa kukata mauno kwenye majukwaa ya Ccm?
Huku IGP ana hadaa watu kwamba polisi hawata kuwa na upendeleo.. Hovyooo
Ilete hiyo clip ya rpc kama unayo.
 
Shida yenu ndio hiyo. Hivi mnadhani hii nchi Ccm mna mamlaka kuvunja sheria za nchi? Sheria ina kataza mgombea kutumia mali na watumishi wa serikali kwenye chaguzi. Rpc katoa magari mawili ya polisi kumsindikiza dada yenu kuchukua fomu. Hivi mkiwekewa pingamizi hao polisi wata wasaidia nini?
Ati Tulia ni mwana sheria.. Hata hili dogo hakuliona ni kosa?
Vichwa puff puff
Hata huyo Magufuli na urais wake wote, msafara wake hauku ongozwa na gari za serikali. Tulia yeye ni nani hapa Mbeya?
Tumeshitakiwa MIGA
 
Mbona wanakimbia? nijuavyo maandamano kwa ccm yanaruhusiwa, sasa wamevurumishwa na nani hapo?
 
Mgombea ubunge wa jimbo la Mbeya Mjini Dkt. Tulia Mwansasu amechukua fomu ya kugombea ubunge huku akisindikizwa na maelfu ya wananchi wengi kuliko walioenda kwenye udhamini wa mgombea urais kupitia Chadema Tundu Lissu!

Hiki kishindo cha uchukuaji fomu ni salamu tosha kwa Sugu na CHADEMA kwa ujumla kwamba wajiandae kustaafu na kwenda kufagia kwenye hotel yao ya Desideria.

Moja ya kumi ukilinganisha na wa Tundu lissu. Apewe hongera kwa kupata angalau moja ya kumi.
 
Mgombea ubunge wa jimbo la Mbeya Mjini Dkt. Tulia Mwansasu amechukua fomu ya kugombea ubunge huku akisindikizwa na maelfu ya wananchi wengi kuliko walioenda kwenye udhamini wa mgombea urais kupitia Chadema Tundu Lissu!

Hiki kishindo cha uchukuaji fomu ni salamu tosha kwa Sugu na CHADEMA kwa ujumla kwamba wajiandae kustaafu na kwenda kufagia kwenye hotel yao ya Desideria.

Kwenye hiyo motorcade kuna STL/STK/SU ngapi? Tayari hiyo ni disqualification ya candidacy. A lawyer who does not know law is a liability. Hatumuhitaji. Arudi tu kwenye mipasho kuwa Dela bila msambwata halinogi.
 
Back
Top Bottom