Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia Akson afanya tena jambo kubwa lililomshinda Sugu kipindi chake chote cha ubunge, apongezwa kila kona

Kwa jinsi anavyoutaka ubunge wahuni wanaweza kumla mzigo huyu
 
Ungejua unampa promo, wewe ukijua wamponda...
 
Hadi huruma. Kwanini haridhiki na Jimbo lake la Ikulu?
 
Sugu aende akasaini msondo ngoma tu,ubunge kwa heri
Dada msomi anatosha
Alafu akishinda ubunge mnarukaruka akirudi kushukuru anawaambia maendeleo ni kufanya kazi "fanyeni kazi".....kwa bunge letu bora niwachague kina Musukuma, Kinyimba, Lusinde au Sugu ili hao wasomi wakasaidie kunoa vichwa vya vijana maana hata wakiingia bungeni wanafanya maamuzi kwa kuzingatia maslahi ya vyama vyao na kama hivyo bora tuwapeleke wengine angalau tutasingizia hawana uelewa kuliko kuwa na watu wenye uelewa alafu wanapitisha kila kitu
 
Huku kampeini za ubunge hazijaanza rasmi nchini, jijini mbeya mh Sugu anaonekana kumtesa bi Tulia kwa kumfanya awe mtumwa.

Pichani anaonekana Tulia akifanya kazi za ukibarua wa ujenzi wa nyumba ili mradi kujitafutia umaarufu kwa kuwavutia wana mbeya.

Pamoja na hayo yote bado wana mbeya tuna mwambia kuwa hata akubeba zege bado haitatubadilisha msimamo wa mapenzi yetu kwa mh Sugu.
 
Maigizo kwa kwenda mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…