Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia Akson afanya tena jambo kubwa lililomshinda Sugu kipindi chake chote cha ubunge, apongezwa kila kona

Hichi kabetina si kikalee familia sura mbaya [emoji3]
 
Huyu binti ameshiriki kuzima mijadala yenye maslahi ya wengi.
 
Tunalisubiri BOX
 
Mafundi ujenzi wote wangekuwa hivyo mbona pasingetosha! Wana Mbeya kazi mnayo
 
Amekumbuka kuwanunulia watoto wako na wazazi wako unga walau wapate mlo wa siku?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Dada asante sana kwa juhudi zako kwa hapa mbeya ila tunakuomba uwe na moyo huo huo hata baada ya uchaguzi wanambeya tutavyompitisha sugu aendelee kuwa mbunge

hapa mbeya hata ufe na ufufuke upya watu wa hapa wanamkubali sana sugu, kama huamini nenda tu hata pale mwanjelwa uliza watu kumiπŸ˜€πŸ˜€

Mgawano wa majukumu ni kitu kizuri sana, hivyo nakuomba sana dada uendelee na jukumu lako la kuzindua miradi huku sugu akiendelea kuwa mbunge.

Kuna mwenye swali??😁😁
 
Wakiomba kura wanakuwa humble ,wakirudi bungeni wana roho ya unyama
Wewe ndiyo unawajua wanasiasa vizuri; ni wanafiki kweli. Kumbukia wimbo huu, nimeutafuta tena baada ya kusoma post yako hii

 
Huo wimbo umemaliza kila kitu
Wewe ndiyo unawajua wanasiasa vizuri; ni wanafiki kweli. Kumbukia wimbo huu, nimeutafuta tena baada ya kusoma post yako hii

 
Eti naye alisoma shule ya sekondari Loleza! Gagula.
 



Wewe ndiye unamsaidia kampeni. Au ndiyo mume wake kisiasa. !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…