Dkt. Tulia anapitia kipindi kigumu, walio karibu naye wamuangalie

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
18,875
Reaction score
29,427
Kuna vitu anajutia, ila it's too late.
Video hii hapa:
Your browser is not able to display this video.

Halafu mumewe Andendelile Mwainyekule pia katenguliwa nafasi ya u -CEO wa EWURA.
Your browser is not able to display this video.
 
Kuna vitu anajutia, ila it's too late.
Video hii hapa:
View attachment 3567216
Halafu mumewe Andendelile Msainyekule pia katenguliwa nafasi ya u -CEO wa EWURA.
View attachment 3567217
Huyo Tulia ni muumini sana wa vyeo, ndio maana imekuwa rahisi sana kutumika kama dekio kwenye mambo machafu dhidi ya umma. Anapokosa madaraka anaumia kupita maelezo.
 
Kila mmoja litampitia kwa wakati wake. Siwezi kusahau ubaya alionifanyia Tulia Ackson mwaka 2020. Alipanga nikalzwa ndani kwa tuhuma za uwongo
Duh,ilikuwaje mdau

Ova
 
Arudi chuo kufundisha
Kuliko kukaa bungeni
Na kugonga meza,akiomba msaada wa maji,barabara jimboni mwake

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…