Dkt. Tulia anapitia kipindi kigumu, walio karibu naye wamuangalie

Dkt. Tulia anapitia kipindi kigumu, walio karibu naye wamuangalie


Ajitwike Tu....Huo Ni Msalaba Wake,,Nasi Tunayetu Pia....
Ajitahidi Sana Kujiombea Mwenyewe..
​
 
Arudi chuo kufundisha
Kuliko kukaa bungeni
Na kugonga meza,akiomba msaada wa maji,barabara jimboni mwake

Ova
Hizo guts hana!
ccm ni genge la wanyang'anyi... hawana urafiki wa kudumu na wowote! Kanyofolewa kutoka urais wa mabunge hadi kuwa mgonga meza!
 
Hao wote hapo kwenye picha hawakuwahi kukumea utekaji. Yanayowakuta ni sahihi.
Hapana pole pole alikemea
images (3) (22).jpeg
 
Hata mimi najuwa kuwa ya chini ni AI kweli lakini ujumbe ni sahihi kabisa. Amepita humohumo
Alikuwa speaker wa hovyo sana. Kuna vipengele a mpaka d kwenye jambo Moja yye alisoma kamoja mfano d kufanya maamuzi mjinga kabisa yule.
 
Sina uwakika kati yako ww n yy Nani anapitia magumu. Sorry wao hawajui kupanda kwa mafuta.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Halafu ilikuwaje naye mumewe ambaye ni Mhasibu akapata kuwa CEO wa EWURA wakati kuna ma Engineer wa mechanical na chemical processing wa kutosha pale? Anapata u CEO wakati mkewe ni Spika. Kuna namna
Kuna link ilikuwa inawaunganisha na mamlaka ya uteuzi sasa imekatika wamebaki kujiliza liza.
 
Back
Top Bottom