Dkt. Tulia anapitia kipindi kigumu, walio karibu naye wamuangalie

Dkt. Tulia anapitia kipindi kigumu, walio karibu naye wamuangalie

Usiogope, watateuliwa kuwa waziri, CCM wanajua kulindana
 
Waachie ngazi kwan lazima wawe viongozi
Halafu ilikuwaje naye mumewe ambaye ni Mhasibu akapata kuwa CEO wa EWURA wakati kuna ma Engineer wa mechanical na chemical processing wa kutosha pale? Anapata u CEO wakati mkewe ni Spika. Kuna namna
 
Huyo Tulia ni muumini sana wa vyeo, ndio maana imekuwa rahisi sana kutumika kama dekio kwenye mambo machafu dhidi ya umma. Anapokosa madaraka anaumia kupita maelezo.
Kwenye status zake zote za social media amejaza post za mafumbo tu kujiliza liza. Ila huyu ni kama nyoka Koboko, ukianza kumuona koboko inabidi umshughulikie hapo hapo kwa kupiga kichwa, la sivyo inakula kwako
 
Niliwaambia zile damu zitaondoka na wengi. Nasubiria yule anaejitanua kule ikulu atoke uchi .akipiga kelele au aanze kuongea mwenyewe kama kichaa...nimekaa nasubiri ..chezea damu wewe...
 
Wanyakyusa ndio walivyo hasa wanawake!

Akiwa na kacheo atakufanyia ubaya wote ili mradi aendelee kudumu kwenye kacheo kake! Na atakufanyia fitina za kutosha ikiwemo kujipendekeeza kwa mabos ili apate cheo.

Akiwa hana cheo anajifanya mlokole!
 
Halafu ilikuwaje naye mumewe ambaye ni Mhasibu akapata kuwa CEO wa EWURA wakati kuna ma Engineer wa mechanical na chemical processing wa kutosha pale? Anapata u CEO wakati mkewe ni Spika. Kuna namna

CEO wa EURA sio lazima awe Engineer, na Jamaa ana qualifications za kua CEO, kuhusu utendaji wake sina hakika.
 
Back
Top Bottom