The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 11,197
- 14,771
Hata anakumbuka basiArudi chuo kufundisha
Kuliko kukaa bungeni
Na kugonga meza,akiomba msaada wa maji,barabara jimboni mwake
Ova
Hata anakumbuka basiArudi chuo kufundisha
Kuliko kukaa bungeni
Na kugonga meza,akiomba msaada wa maji,barabara jimboni mwake
Ova
Baaada saaana, kila jiwe litapinduliwa na kila ukweli utajulikana na haki itatendeka, ni suala la muda tu1Kuna vitu anajutia, ila it's too late.
Video hii hapa:
View attachment 3567216
Halafu mumewe Andendelile Mwainyekule pia katenguliwa nafasi ya u -CEO wa EWURA.
View attachment 3567217
Unajua marupu marupu ya spika mstaafuKuna vitu anajutia, ila it's too late.
Video hii hapa:
View attachment 3567216
Halafu mumewe Andendelile Mwainyekule pia katenguliwa nafasi ya u -CEO wa EWURA.
View attachment 3567217
Atajua mwenyeweKuna vitu anajutia, ila it's too late.
Video hii hapa:
View attachment 3567216
Halafu mumewe Andendelile Mwainyekule pia katenguliwa nafasi ya u -CEO wa EWURA.
View attachment 3567217
Kwani aliyewateka akina Ben Saanane ni nani? Polepole alihusika wakati wa Magufuli kuteka watuHapana pole pole alikemeaView attachment 3567350
Itapendeza zaidi wakimJenista.Haliko mbali Mkuu tunza hii post yangu.
Polepole alikemea baada ya kufikiwa, huyu na Bashiru ndiyo walikuwa wapambe wa Magufuli kuibagaza demokrasia nchini.Hapana pole pole alikemeaView attachment 3567350
Kwa hali hii mizuka itoke wapiINAWEZEKANA HATA CHAKULA CHA USIKU HAWAPEANI
Ana present content flani za gospel kwa style ya taarabu.Kwenye status zake zote za social media amejaza post za mafumbo tu kujiliza liza. Ila huyu ni kama nyoka Kosovo, ukianza kumuona koboko inabidi umshughulikie hapo hapo kwa kupiga kichwa, la sivyo inakula kwako
Yaani huyu dada hata akiwa uchi, ukiona mb..oo yako imesimama ujue mb..oo yako haijitambui..Ana roho mbovu kama sura yake tu