The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Alikuwa na kingereza kizuri bana,
Anatupiga pindi fresh tu.
Alikuwa anaongea taratiibu na kingereza chake ila anaeleweka.Watanzania ni mabingwa wa Ku-compose stories tu, umaweza kuta mtu hata hajawai fundishwa na TA lkn ana tolea ufafanuzi wa uwezo wake wa kufundisha
Tulia alipokua spika aliitupilia mbali issue ya watu kupotea isijadiliwe bungeni,toka alipopotea polepole unaona kabisa tulia nafsi inamsutaHuyu mnafiki hajawai ata kukemea utekaji acha kimlambeView attachment 3567227
Hizo guts hana!Arudi chuo kufundisha
Kuliko kukaa bungeni
Na kugonga meza,akiomba msaada wa maji,barabara jimboni mwake
Ova
Hapana pole pole alikemeaHao wote hapo kwenye picha hawakuwahi kukumea utekaji. Yanayowakuta ni sahihi.
Andunje, chawa, chunusi….. naona umeanza kupoteza RAMNa bado Malipo ni hapa hapa duniani tu.
akikaa vibaya wana mkolimbaa vizuri tuNa bado Malipo ni hapa hapa duniani tu.
Huu utekaji wa wazi wazi wa wakosoaji ulianza wakati wa Magufuli. Kama dada yake alitekwa ni matokea ya mbegu waliyopanda enzi za Magufuli, Polepole akiwa kwenye ulaji. Lete post Polepole akakimea kundi la watu wasiojulikana wakati wa Magufuli.Hapana pole pole alikemeaView attachment 3567350
Alikuwa speaker wa hovyo sana. Kuna vipengele a mpaka d kwenye jambo Moja yye alisoma kamoja mfano d kufanya maamuzi mjinga kabisa yule.Hata mimi najuwa kuwa ya chini ni AI kweli lakini ujumbe ni sahihi kabisa. Amepita humohumo
DuhHizo guts hana!
ccm ni genge la wanyang'anyi... hawana urafiki wa kudumu na wowote! Kanyofolewa kutoka urais wa mabunge hadi kuwa mgonga meza!
Kuna link ilikuwa inawaunganisha na mamlaka ya uteuzi sasa imekatika wamebaki kujiliza liza.Halafu ilikuwaje naye mumewe ambaye ni Mhasibu akapata kuwa CEO wa EWURA wakati kuna ma Engineer wa mechanical na chemical processing wa kutosha pale? Anapata u CEO wakati mkewe ni Spika. Kuna namna
Haliko mbali Mkuu tunza hii post yangu.akikaa vibaya wana mkolimbaa vizuri tu