Unemuona anavyojiliza kwenye pages zake za social media? Au na wewe ni mfanyakazi wa Tulia Trust? Unatekeleza majukumu yako ya kujibu comments dhidi ya Tulia?
Kuna vitu anajutia, ila it's too late.
Video hii hapa: View attachment 3567216
Halafu mumewe Andendelile Mwainyekule pia katenguliwa nafasi ya u -CEO wa EWURA. View attachment 3567217Huy