Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
kuna mgunduzi huko urusi kagundua makalio yana uwezekano wa kubeba akili na inakadiliwa wengi wapo tanzania kama mfano wakohaiba, hulka, maono, mipango, mitazamo na utendaji wao una viashiria, sifa, vigezo na uelekeo wa nafasi za juu katika katika uongozi wa nchi. hii ni kwa mujibu wa haki, maoni na mtazamo wangu huru kikatiba..
nachelea kuwasihi wananchi na waTanzania wote kwa ujumla, kutafakari jambo hili muhimu sana kwa mustakabali wa ustawi wa Taifa letu, baada ya Dr. Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha waTanzania kukamilisha ngwe yake ya pili uongozini 2025-2030...
nje ya watajwa hao,
ni kupoteza muda, nguvu na rasilimali tu π
Mungu Ibariki Tanzania
Debola Bant toa na weweToa makonda katika list yako. Yule hamna kitu zaidi ya kick na mbwembwe tu. Hakuna anachoanzisha akakimaliza huwa kinaishia njiani
sasa orodha Haina Kafulila ni gani?haiba, hulka, maono, mipango, mitazamo na utendaji wao una viashiria, sifa, vigezo na uelekeo wa nafasi za juu katika katika uongozi wa nchi. hii ni kwa mujibu wa haki, maoni na mtazamo wangu huru kikatiba..
nachelea kuwasihi wananchi na waTanzania wote kwa ujumla, kutafakari jambo hili muhimu sana kwa mustakabali wa ustawi wa Taifa letu, baada ya Dr. Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha waTanzania kukamilisha ngwe yake ya pili uongozini 2025-2030...
nje ya watajwa hao,
ni kupoteza muda, nguvu na rasilimali tu π
Mungu Ibariki Tanzania
nasikia kafullila kaanza kubeba mikoba ya lipumbasasa orodha Haina Kafulila ni gani?
Juhudi za kumpigia kampeni 'Chura Kiziwi' kwa kurembaremba pembeni unadhani watu hawatajuwa lengo linalokusudiwa na vimada vya kipuuzi puuzi humu JF?haiba, hulka, maono, mipango, mitazamo na utendaji wao una viashiria, sifa, vigezo na uelekeo wa nafasi za juu katika katika uongozi wa nchi. hii ni kwa mujibu wa haki, maoni na mtazamo wangu huru kikatiba..
nachelea kuwasihi wananchi na waTanzania wote kwa ujumla, kutafakari jambo hili muhimu sana kwa mustakabali wa ustawi wa Taifa letu, baada ya Dr. Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha waTanzania kukamilisha ngwe yake ya pili uongozini 2025-2030...
nje ya watajwa hao,
ni kupoteza muda, nguvu na rasilimali tu π
Mungu Ibariki Tanzania
Pia Tulia Acksoni Toa.Mwigulu toa.
Makonda toa.
Makamba toa.
Huwezi kuwa sirias mleta mada.
Tulia ni takataka.Hapo mwanasiasa hazina ni Dr Tulia peke yake, hao wengine ni machawa na wapenda sifa tu.
MBOJI,MBOJI, MBOJI,MBOJI ......π€π€haiba, hulka, maono, mipango, mitazamo na utendaji wao una viashiria, sifa, vigezo na uelekeo wa nafasi za juu katika katika uongozi wa nchi. hii ni kwa mujibu wa haki, maoni na mtazamo wangu huru kikatiba..
nachelea kuwasihi wananchi na waTanzania wote kwa ujumla, kutafakari jambo hili muhimu sana kwa mustakabali wa ustawi wa Taifa letu, baada ya Dr. Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha waTanzania kukamilisha ngwe yake ya pili uongozini 2025-2030...
nje ya watajwa hao,
ni kupoteza muda, nguvu na rasilimali tu π
Mungu Ibariki Tanzania
sasa ticha,Kwa nini hujifunzi kuandika kwa kanuni zake?JF ni jukwaa kuuubwaaa juu ya jukwaa.Unataka utafsirikaje?Usiandike tu kama upo chumbani "unachana" nywele.Badilika.Siyo ombi.
ni kweli mihemko, ghadhab, hasira na kuporomosha mitusi kumeharibu mijadala mingi muhimu sana kwa maslahi mapana ya Taifa letu πNyie ndio mna sababisha jf kuonekana sio kwa sasa
haiba, hulka, maono, mipango, mitazamo na utendaji wao una viashiria, sifa, vigezo na uelekeo wa nafasi za juu katika katika uongozi wa nchi. hii ni kwa mujibu wa haki, maoni na mtazamo wangu huru kikatiba..
nachelea kuwasihi wananchi na waTanzania wote kwa ujumla, kutafakari jambo hili muhimu sana kwa mustakabali wa ustawi wa Taifa letu, baada ya Dr. Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha waTanzania kukamilisha ngwe yake ya pili uongozini 2025-2030...
nje ya watajwa hao,
ni kupoteza muda, nguvu na rasilimali tu π
Mungu Ibariki Tanzania
kuna chairman wa Taifa wa chama fulani kikubwa tu cha siasa, alifakamia huo unyagi bapa mkubwa wote,Hapo ameandika akiwa kaunta na konyagi jibapa amenunuliwa na kapewa bando la afu 3 anaona dunia ipo upande wake
huna haja ya mihemko, huna haja ya kufanya mazoezi ya kutaka kuanza kuyaporomosha matusi....Badala ya kuleta mada ya katiba mpya iki tujenge mifumo imara ya kuhakikisha uwepo wa Taifa imara kwa miaka 300 ijayo mnakuja kulamba miguu ya Wanasiasa humu.
Jinga kabisa mleta mada