Dkt.Tulia, Dkt. Mwigulu, Dkt. Nchimbi, Paul Makonda na January Makamba ni hazina kwa Tanzania ijayo

haiba, hulka, maono, mipango, mitazamo na utendaji wao una viashiria, sifa, vigezo na uelekeo wa nafasi za juu katika katika uongozi wa nchi. hii ni kwa mujibu wa haki, maoni na mtazamo wangu huru kikatiba..

nachelea kuwasihi wananchi na waTanzania wote kwa ujumla, kutafakari jambo hili muhimu sana kwa mustakabali wa ustawi wa Taifa letu, baada ya Dr. Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha waTanzania kukamilisha ngwe yake ya pili uongozini 2025-2030...

nje ya watajwa hao,
ni kupoteza muda, nguvu na rasilimali tu 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
kuna mgunduzi huko urusi kagundua makalio yana uwezekano wa kubeba akili na inakadiliwa wengi wapo tanzania kama mfano wako
 
haiba, hulka, maono, mipango, mitazamo na utendaji wao una viashiria, sifa, vigezo na uelekeo wa nafasi za juu katika katika uongozi wa nchi. hii ni kwa mujibu wa haki, maoni na mtazamo wangu huru kikatiba..

nachelea kuwasihi wananchi na waTanzania wote kwa ujumla, kutafakari jambo hili muhimu sana kwa mustakabali wa ustawi wa Taifa letu, baada ya Dr. Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha waTanzania kukamilisha ngwe yake ya pili uongozini 2025-2030...

nje ya watajwa hao,
ni kupoteza muda, nguvu na rasilimali tu 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
sasa orodha Haina Kafulila ni gani?
 
Juhudi za kumpigia kampeni 'Chura Kiziwi' kwa kurembaremba pembeni unadhani watu hawatajuwa lengo linalokusudiwa na vimada vya kipuuzi puuzi humu JF?

Hopeless Kabisa.
 
haiba, hulka, maono, mipango, mitazamo na utendaji wao una viashiria, sifa, vigezo na uelekeo wa nafasi za juu katika katika uongozi wa nchi. hii ni kwa mujibu wa haki, maoni na mtazamo wangu huru kikatiba..

nachelea kuwasihi wananchi na waTanzania wote kwa ujumla, kutafakari jambo hili muhimu sana kwa mustakabali wa ustawi wa Taifa letu, baada ya Dr. Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha waTanzania kukamilisha ngwe yake ya pili uongozini 2025-2030...

nje ya watajwa hao,
ni kupoteza muda, nguvu na rasilimali tu 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
MBOJI,MBOJI, MBOJI,MBOJI ......🤔🤔
 
Kwa nini hujifunzi kuandika kwa kanuni zake?JF ni jukwaa kuuubwaaa juu ya jukwaa.Unataka utafsirikaje?Usiandike tu kama upo chumbani "unachana" nywele.Badilika.Siyo ombi.
sasa ticha,
malimbikizo ya madai yenu si yanashughulikiwa na serilikali na madaraja mnapanda ...

hii ya kufundisha fasihi andishi au simulizi, fanyeni kule darasani kwa wanetu,

dosari na kasoro za silabi, herufi, sentensi, lahaja na mengine kuhusu humu jukwaani sio issue, bali uelewa na ufahamu juu ya mambo ya kisiasa kijamii na kiuchumi ndio muhimu zaidi....

sawa mwalimu?
usilete tena kimbelembele cha darasani humu jukwaani,

umeelewa mwalimu?🐒
 
Nyie ndio mna sababisha jf kuonekana sio kwa sasa
ni kweli mihemko, ghadhab, hasira na kuporomosha mitusi kumeharibu mijadala mingi muhimu sana kwa maslahi mapana ya Taifa letu 🐒

kwa mfano chuki binafsi uliyonayo imekuharibu kabisa, huwezi kujadiliana tena, huna ustahimilivu hata kidogo...

ulichobaki nacho ni conclusions hata kwa usicho kielewa dah,aise 🐒
 
haiba, hulka, maono, mipango, mitazamo na utendaji wao una viashiria, sifa, vigezo na uelekeo wa nafasi za juu katika katika uongozi wa nchi. hii ni kwa mujibu wa haki, maoni na mtazamo wangu huru kikatiba..

nachelea kuwasihi wananchi na waTanzania wote kwa ujumla, kutafakari jambo hili muhimu sana kwa mustakabali wa ustawi wa Taifa letu, baada ya Dr. Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha waTanzania kukamilisha ngwe yake ya pili uongozini 2025-2030...

nje ya watajwa hao,
ni kupoteza muda, nguvu na rasilimali tu 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Attachments

  • IMG_2939.jpeg
    IMG_2939.jpeg
    14.2 KB · Views: 1
Hapo ameandika akiwa kaunta na konyagi jibapa amenunuliwa na kapewa bando la afu 3 anaona dunia ipo upande wake
kuna chairman wa Taifa wa chama fulani kikubwa tu cha siasa, alifakamia huo unyagi bapa mkubwa wote,

bahati mbaya wakazinguana na mchepuko, akapigwa mtama kimo cha mbuzi na yule mchepuko akavunjika mguu,

jamaa akasingizia kanguka kwenye ngazi dah 🐒
 
Badala ya kuleta mada ya katiba mpya iki tujenge mifumo imara ya kuhakikisha uwepo wa Taifa imara kwa miaka 300 ijayo mnakuja kulamba miguu ya Wanasiasa humu.

Jinga kabisa mleta mada
huna haja ya mihemko, huna haja ya kufanya mazoezi ya kutaka kuanza kuyaporomosha matusi....

niliyowataji ndio mwarobaini wa katiba mpya yenye uelekeo na uhai wa zaidi ya miaka 300,

jipange nyuma yao 🐒
 
Back
Top Bottom