mr_politician
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 631
- 452
hahaha umetoka kwenye fact umerudi kwenye kuhisi.Myika anajua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha umetoka kwenye fact umerudi kwenye kuhisi.Myika anajua
Ila tambua kuwa Fomu za viti maalum Chadema zipo ofisini kwao hadi sasa, hawajahi kuteua wabunge, Changamoto inaanzia hapo.Jambo la viti maalum ni Jambo la kisheria
So wakina mdee walivuliwa uanachama wao Kwa kutiii sheria ya viti maalum
Ila tambua kuwa Fomu za viti maalum Chadema zipo ofisini kwao hadi sasa, hawajahi kuteua wabunge, Changamoto inaanzia hapo.
Kuna maswali mengi sana kwenye sakata hili yanahitaji majibu.
===
Je nani aliwateua hao 19
Anzia hapa kisha 'connect dots': Saa ishirini na nne za Nusrat Hanje kutia doa Mihimili mitatu ya Nchi
Tulia anajua kwamba wakiwafukuza COVID-19, CHADEMA hawatateua wabunge wengine.Hivyo basi,ni kheri kuwang'ang'ania haohao wabaki bungeni ili kuyahadaa mataifa mengine kwamba Tanzania kuna demokrasia ya vyama vingi.Na wengine wapo hadi bungeni.Hii ni kujenga taswira njema na kuendelea kupata kitokacho kwa mabeberu.
Mtalamba vingi zaidi.Eeeh ni Safi kabisa, coz chadema wanasiasa za kulambwa miguu
Tumbili at her best!MIMI KAZI YANGU NI MOJA TU - SPIKA TULIA AKSON
Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Tulia Ackson Tulia Ackson amezungumza na wanaHabari kuhusu uamuzi wa kuwafukuza Bungeni Wabunge 19 wa CHADEMA Halima Mdee na wenzake. Amesema yeye anasubiri Maamuzi ya Mahakama.
View attachment 2227166
hotel gani mkuu?Hivi umesikia hotel walizokwenda kulala samia na kikosi chake huko MAREKANI ?Halafu anakuja huku kusema maisha magumu?@Tindo nchi imeuzwa Kwa waarabu wa dubai
MIMI KAZI YANGU NI MOJA TU - SPIKA TULIA AKSON
Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Tulia Ackson Tulia Ackson amezungumza na wanaHabari kuhusu uamuzi wa kuwafukuza Bungeni Wabunge 19 wa CHADEMA Halima Mdee na wenzake. Amesema yeye anasubiri Maamuzi ya Mahakama.
View attachment 2227166
Mkuu Nguruvi3, usiniambie na wewe ambaye ni one of ma top GT wa humu jf, usiniambie na wewe umeingia chaka na ile hukumu ya juzi ni hukumu ya ku stuck out hilo shauri kutokana na procedural improperity lakini sio shauri lenyewe!.
Kuba utaratibuwake. Si kulalamika muda wote.LAZIMA TUULIZE KODI ZETUUUUU
Hiyo ngoma hadi mwaka 2025 inaenda ukiweka na rufaaMkuu Nguruvi3, usiniambie na wewe ambaye ni one of ma top GT wa humu jf, usiniambie na wewe umeingia chaka na ile hukumu ya juzi ni hukumu ya ku stuck out hilo shauri kutokana na procedural improperity lakini sio shauri lenyewe!.
Shauri lenyewe la msingi ni ombi la certiorari na mandamus dhidi ya uamuzi wa Chadema kuwavua uanachama utakaowapotezea sifa za kuwa wabunge. Ombi hili hufanywa kwa judicial review ambayo huombwa kwa kujaza a chamber summons suppoted by affidavits. Hivyo sio kesi imehukumiwa kina Mdee wameshindwa Chadema wameshinda!. No!
kilichofanyika na uamuzi huo ni kwamba
Therefore, hii ngoma bado ni mbichi, it's not over until it's over!. Ila pia nimebaini kunahitajika wataalamu wa sheria, kuwa wanawafafanulia wananchi hukumu mbalimbali kwa lugha rahisi ya wananchi.
- Kina Mdee na kundi lake wamefungua shauri mahakamani kupinga kuvuliwa uanachama wa Chadema na CC ya Chadema, kutakako pelekea wao kupoteza ubunge wao.
- Shauri hilo ni ombi la certiorari na mandamus kupitia a judicial review
- Mahakama Kuu imeweka procedure ya jinsi ya ku file a lawsuit of judicial review is by filling a chamber summons suppoted by affidavits.
- Kina Mdee wametimiza takwa hili.
- Chadema ikatoa mapingamizi 7 kupinga kupokelewa kwa shauri hilo.
- Mahakama Kuu imekubaliana na baadhi ya hoja Chadema kuwa kuna makosa ya procedural improperity lakini sio shauri lenyewe.
- Hivyo mahakama ime struck out, yaani imegoma kupokea ombi la kina Halima Mdee na sio kuwa ombi limekataliwa.
- Kinachofuatia no kina Mdee, ku rekebisha ombi lao na kuliomba upya.
- Hivyo Mwalimu wangu wa Sheria, Dr. Tulia Akson Mwansasu yuko very right kwenye hili, kama nilivyo eleza hapa
- Hapa Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi
P.

Hiki kibibi kwanini hakipati hata ajali?MIMI KAZI YANGU NI MOJA TU - SPIKA TULIA AKSON
Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Tulia Ackson Tulia Ackson amezungumza na wanaHabari kuhusu uamuzi wa kuwafukuza Bungeni Wabunge 19 wa CHADEMA Halima Mdee na wenzake. Amesema yeye anasubiri Maamuzi ya Mahakama.
View attachment 2227166
Pascal NjaaPaschal, sifahamu wewe kama ni practising mwanasheria au umesoma sheria. Najua ni mwandishi wa habari. Ninaheshimu chochote unachokifanya!
Point number 7. Ombi la kupinga kufutwa uanachama liko ndani ya submission iliyokataliwa on technical grounds. Sijui umefikiaje kusema ombi lao halijakataliwa wakati mahakama imeamua kutolisikiliza!! Mahakama haikutoa maelekezo yoyote zaidi ya ku-strike out kesi, jambo ambalo linawapa wadai nafasi ya kukata rufaa au kuleta ombi jipya. Kwa sasa hiivi hakuna hata zuio la mahakama akina Mdee wasiondolewe Bungeni!! Please stop gaslighting readers here. Malice ni kitu kibaya sana na katika nchi nyingine license to practice inaweza kuwa revoked na hata mtu akaadhibiwa kwa fine na prison time kwa kutokuwa mkweli!
Ni Spika alisema hatachukua hatua kwa kuwa kuna kesi mahakamani. Ninaona akina Mdee wakipatiwa nafasi ya kufanya jambo hili kwa namna mpya. Ni haki yao na ni jambo jema! Sababu za kufanya hayo ni za kisiasa, hata hivo! Bunge linawahitaji akina Mdee kwa sasa ili kutimiza matakwa na sheria/taratibu nyingine muhimu. Spika Ndugai, hasa, hakuacha jambo hili lifike hapa lilipofika. Spika Dr. Tulia kaliacha limesonga mbele na sasa linaumbua taasisi! Sasa tutasikia hata ji taasisi gani itamtaarifu Spika kuhusu maamuzi ya mahakama (zingatia ni taasisi ipi ilitoa taarifa ya kuwepo kwa shauri mahakamani).
Kilicho wazi - mihimili iko huru katika muundo tu. Kiutendaji haiko huru!