Dkt. Tulia: Kama wasingeenda Mahakamani ningetangaza nafasi kuwa wazi

Akina Mdee tunao Bungeni hadi Mwisho wa awamu hii.
Hakuna wa kuwaondoa Bungeni.

Chadema mnasema hamuutambui Uchaguzi uliopita.
Sasa mbona mnawatambua akina Mdee kuwa ni Wabunge.?

Ni Wabunge kwa uchaguzi upi ?

Chadema ilibidi mkae kimyaa tu.
Muendelee na mikakati yenu.

Kama mnawatambua akina Mdee kuwa ni Wabunge ina maana mnautambua Uchaguzi na kuukubali.

Chadema mniajiri mimi kuwafundisha Siasa za Vyama Vingi.
Ni kwamba Mko Zero kiutawala.
 
ivi hawa CCM wanatuonaga sisi watanzania mazobaaaa !! cheki sasa huyu maza na yeye.
 
Ila tambua kuwa Fomu za viti maalum Chadema zipo ofisini kwao hadi sasa, hawajahi kuteua wabunge, Changamoto inaanzia hapo.

Kuna maswali mengi sana kwenye sakata hili yanahitaji majibu.
===
Je nani aliwateua hao 19

Anzia hapa kisha 'connect dots': Saa ishirini na nne za Nusrat Hanje kutia doa Mihimili mitatu ya Nchi

Tatizo wafuasi wengi wa chadema mnadanganywa na maneno matupu Tu bila kuhoji Kwa undani,

Hizo form umeziona? Unauhakika gani kama wakina nyika hawakutoa go a head?
 
Tulia anajua kwamba wakiwafukuza COVID-19, CHADEMA hawatateua wabunge wengine.Hivyo basi,ni kheri kuwang'ang'ania haohao wabaki bungeni ili kuyahadaa mataifa mengine kwamba Tanzania kuna demokrasia ya vyama vingi.Na wengine wapo hadi bungeni.Hii ni kujenga taswira njema na kuendelea kupata kitokacho kwa mabeberu.
 
Eeeh ni Safi kabisa, coz chadema wanasiasa za kulambwa miguu
 
MIMI KAZI YANGU NI MOJA TU - SPIKA TULIA AKSON

Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Tulia Ackson Tulia Ackson amezungumza na wanaHabari kuhusu uamuzi wa kuwafukuza Bungeni Wabunge 19 wa CHADEMA Halima Mdee na wenzake. Amesema yeye anasubiri Maamuzi ya Mahakama.

View attachment 2227166

Pascal Mayalla

Tulikuambia Mwalimu na Dkt wako hakuna kitu! unahitaji ushahidi mwingine?

JokaKuu
 
Mkuu Nguruvi3, usiniambie na wewe ambaye ni one of ma top GT wa humu jf, usiniambie na wewe umeingia chaka na ile hukumu ya juzi ni hukumu ya ku stuck out hilo shauri kutokana na procedural improperity lakini sio shauri lenyewe!.

Shauri lenyewe la msingi ni ombi la certiorari na mandamus dhidi ya uamuzi wa Chadema kuwavua uanachama utakaowapotezea sifa za kuwa wabunge. Ombi hili hufanywa kwa judicial review ambayo huombwa kwa kujaza a chamber summons suppoted by affidavits. Hivyo sio kesi imehukumiwa kina Mdee wameshindwa Chadema wameshinda!. No!
kilichofanyika na uamuzi huo ni kwamba
  1. Kina Mdee na kundi lake wamefungua shauri mahakamani kupinga kuvuliwa uanachama wa Chadema na CC ya Chadema, kutakako pelekea wao kupoteza ubunge wao.
  2. Shauri hilo ni ombi la certiorari na mandamus kupitia a judicial review
  3. Mahakama Kuu imeweka procedure ya jinsi ya ku file a lawsuit of judicial review is by filling a chamber summons suppoted by affidavits.
  4. Kina Mdee wametimiza takwa hili.
  5. Chadema ikatoa mapingamizi 7 kupinga kupokelewa kwa shauri hilo.
  6. Mahakama Kuu imekubaliana na baadhi ya hoja Chadema kuwa kuna makosa ya procedural improperity lakini sio shauri lenyewe.
  7. Hivyo mahakama ime struck out, yaani imegoma kupokea ombi la kina Halima Mdee na sio kuwa ombi limekataliwa.
  8. Kinachofuatia no kina Mdee, ku rekebisha ombi lao na kuliomba upya.
  9. Hivyo Mwalimu wangu wa Sheria, Dr. Tulia Akson Mwansasu yuko very right kwenye hili, kama nilivyo eleza hapa
  10. Hapa Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi
Therefore, hii ngoma bado ni mbichi, it's not over until it's over!. Ila pia nimebaini kunahitajika wataalamu wa sheria, kuwa wanawafafanulia wananchi hukumu mbalimbali kwa lugha rahisi ya wananchi.
P.
 
Hiyo ngoma hadi mwaka 2025 inaenda ukiweka na rufaa

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Paschal, sifahamu wewe kama ni practising mwanasheria au umesoma sheria. Najua ni mwandishi wa habari. Ninaheshimu chochote unachokifanya!

Point number 7. Ombi la kupinga kufutwa uanachama liko ndani ya submission iliyokataliwa on technical grounds. Sijui umefikiaje kusema ombi lao halijakataliwa wakati mahakama imeamua kutolisikiliza!! Mahakama haikutoa maelekezo yoyote zaidi ya ku-strike out kesi, jambo ambalo linawapa wadai nafasi ya kukata rufaa au kuleta ombi jipya. Kwa sasa hiivi hakuna hata zuio la mahakama akina Mdee wasiondolewe Bungeni!! Please stop gaslighting readers here. Malice ni kitu kibaya sana na katika nchi nyingine license to practice inaweza kuwa revoked na hata mtu akaadhibiwa kwa fine na prison time kwa kutokuwa mkweli!

Ni Spika alisema hatachukua hatua kwa kuwa kuna kesi mahakamani. Ninaona akina Mdee wakipatiwa nafasi ya kufanya jambo hili kwa namna mpya. Ni haki yao na ni jambo jema! Sababu za kufanya hayo ni za kisiasa, hata hivo! Bunge linawahitaji akina Mdee kwa sasa ili kutimiza matakwa na sheria/taratibu nyingine muhimu. Spika Ndugai, hasa, hakuacha jambo hili lifike hapa lilipofika. Spika Dr. Tulia kaliacha limesonga mbele na sasa linaumbua taasisi! Sasa tutasikia hata ji taasisi gani itamtaarifu Spika kuhusu maamuzi ya mahakama (zingatia ni taasisi ipi ilitoa taarifa ya kuwepo kwa shauri mahakamani).

Kilicho wazi - mihimili iko huru katika muundo tu. Kiutendaji haiko huru!
 
Mahakama na waandishi wa habari ambao wamesoma sheria wanatakiwa kuwafundisha waandishi jinsi ya kureport case

Otherwise taharuki zitakuwa kila siku
 
Paschal, sifahamu wewe kama ni practising mwanasheria au umesoma sheria. Najua ni mwandishi wa habari. Ninaheshimu chochote unachokifanya!

Point number 7. Ombi la kupinga kufutwa uanachama liko ndani ya submission iliyokataliwa on technical grounds. Sijui umefikiaje kusema ombi lao halijakataliwa wakati mahakama imeamua kutolisikiliza!! Mahakama haikutoa maelekezo yoyote zaidi ya ku-strike out kesi, jambo ambalo linawapa wadai nafasi ya kukata rufaa au kuleta ombi jipya. Kwa sasa hiivi hakuna hata zuio la mahakama akina Mdee wasiondolewe Bungeni!! Please stop gaslighting readers here. Malice ni kitu kibaya sana na katika nchi nyingine license to practice inaweza kuwa revoked na hata mtu akaadhibiwa kwa fine na prison time kwa kutokuwa mkweli!

Ni Spika alisema hatachukua hatua kwa kuwa kuna kesi mahakamani. Ninaona akina Mdee wakipatiwa nafasi ya kufanya jambo hili kwa namna mpya. Ni haki yao na ni jambo jema! Sababu za kufanya hayo ni za kisiasa, hata hivo! Bunge linawahitaji akina Mdee kwa sasa ili kutimiza matakwa na sheria/taratibu nyingine muhimu. Spika Ndugai, hasa, hakuacha jambo hili lifike hapa lilipofika. Spika Dr. Tulia kaliacha limesonga mbele na sasa linaumbua taasisi! Sasa tutasikia hata ji taasisi gani itamtaarifu Spika kuhusu maamuzi ya mahakama (zingatia ni taasisi ipi ilitoa taarifa ya kuwepo kwa shauri mahakamani).

Kilicho wazi - mihimili iko huru katika muundo tu. Kiutendaji haiko huru!
Pascal Njaa
 
Back
Top Bottom