Dkt. Tulia leo 26.10.2023 ameshiriki mdahalo wa kuomba kuchaguliwa kuwa Rais IPU

Dkt. Tulia leo 26.10.2023 ameshiriki mdahalo wa kuomba kuchaguliwa kuwa Rais IPU

mama D

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
19,981
Reaction score
35,581
Dkt. Tulia Ackson amewakilisha vyema katika mdahalo wa kuomba kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge duniani IPU.

Tunamtakia kila la heri katika uchaguzi utakaofanyika kesho 27.10.2023

Mungu ibariki Tanzania
 
Ndio hiyohiyo inakuongozea bunge
Kweli Wewe ni adui wa Tulia wa kutokea nyumbani[emoji848][emoji848][emoji848]

MATHAYO 10:36​

"na adui za mtu ni wale wa nyumbani mwake."​

Hata Yesu alisalitiwa na mtu wake wa karibu kwa dinari 30.

Tanzania hakuna bunge bali kundi la wajinga ,hivyo basi mtu mwenye akili timamu hawezi poteza muda kufuatilia ujinga.
 
Uchaguzi wenyewe ni mwezi wa ngapi...?
Kila siku IPU,IPU
 
Hata Yesu alisalitiwa na mtu wake wa karibu kwa dinari 30.

Tanzania hakuna bunge bali kundi la wajinga ,hivyo basi mtu mwenye akili timamu hawezi poteza muda kufuatilia ujinga.

Na Mjinga namba moja Tanzania ni Wewe uliyezaliwa Tanzania, unayetumia ardhi na rasilimali za Tanzania kuishi na bado unajificha nyuma ya keyboard kutukana ila huthubutu kusimama hata kwenye kitongoji chakokongea hizi mbapu
 
Kwaninhqta jimboni kwake ubunge tu, alishinda?

Ndio, alishinda ndio maana ni mbunge wa kuchaguliwa
Siku wapinzani wakiamua kuwa wapinzani na kufanya siasa kimkakati badala ya kutaka kuonewa huruma nao watashinda
 
Ndio, alishinda ndio maana ni mbunge wa kuchaguliwa
Siku wapinzani wakiamua kuwa wapinzani na kufanya siasa kimkakati badala ya kutaka kuonewa huruma nao watashinda

Wagombea wakienguliwa, kura za kwenye mabegi, wakimbia na masanduku ya kura mchana mchana na rafu zote za uchaguzi na jiwe 2015 na 2019/20 wewe hukuzisikia?

Majizi na majambazi kama haya hayawezi kutegemea dua njema Kwa wapenda haki kokote.

Kwa hakika huyu ashindwe na alegee!
 
Wagombea wakienguliwa, kura za kwenye mabegi, wakimbia na masanduku ya kura mchana mchana navrafu zote za uchaguzi na jiwe 2015 na 2019/20 wewe hukuzisikia?

Majizi na majambazi kama haya hayawezi kutegemea dua njema Kwa wapenda haki kokote.

Kwa hakika huyu ashindwe na alegee!

Hayo hapo juu yanaweza kufanyika tuu iwapo kuna upinzani wa kuigiza au kwa malengo ya kupiga deals
 
Dkt. Tulia Ackson amewakilisha vyema katika mdahalo wa kuomba kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge duniani IPU.

Tunamtakia kila la heri katika uchaguzi utakaofanyika kesho 27.10.2023

View attachment 2794107

Mungu ibariki Tanzania

Angekuwa ana unga mkono demokrasia, kapata ubunge kihalali na anafuata sheria ambazo kasoma ninge muunga mkono. Lakini kwa sasa naombea akose kabisa na Mungu usimpe huyu dawa ambaye hata katiba haitaki na anaunga wabunge fake bungeni.
 
Back
Top Bottom