Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
200% correct!Angekuwa ana unga mkono demokrasia, kapata ubunge kihalali na anafuata sheria ambazo kasoma ninge muunga mkono. Lakini kwa sasa naombea akose kabisa na Mungu usimpe huyu dawa ambaye hata katiba haitaki na anaunga wabunge fake bungeni.
Huyo ni zaidi ya shetani akoseAngekuwa ana unga mkono demokrasia, kapata ubunge kihalali na anafuata sheria ambazo kasoma ninge muunga mkono. Lakini kwa sasa naombea akose kabisa na Mungu usimpe huyu dawa ambaye hata katiba haitaki na anaunga wabunge fake bungeni.
Kule hakuna NEC-CCM lazima ashindweKwaninhqta jimboni kwake ubunge tu, alishinda?
Tuna muombea ashindwe kwa kura nyingi haswaHuyo akishinda si hapa mjini tutakuwa hatumui
[emoji116]Na Mjinga namba moja Tanzania ni Wewe uliyezaliwa Tanzania, unayetumia ardhi na rasilimali za Tanzania kuishi na bado unajificha nyuma ya keyboard kutukana ila huthubutu kusimama hata kwenye kitongoji chakokongea hizi mbapu
Sipo hivyo unavyonifikiria wewe.Mwashamba atakua anasikitika,wewe kumuwahi kuposti habari ya Ackson.
Tanzanian candidate is the new president of the Inter-Parliamentary Union
View attachment 2794750
The Tanzanian candidate, Tulia Ackson, was elected, today, in Luanda, president of the Inter-Parliamentary Union (UIP), to direct the destinies of this global organization over the next three years.
By Editor Last Update 14:19, 27 Oct 2023
Tulia Ackson from (Tanzania) ran in the election, which took place on the sidelines of the 147th UIP Assembly, with candidates Adji Kanoute, from (Senegal), Catherine Hara, from (Malawi), and Marea Hagi from (Somalia).
Portuguese Duarte Pacheco is the outgoing president of the UIP, an organization founded in 1889, one of the oldest in the world and currently has more than 46 thousand deputies from 179 national parliaments, promoting peace and democracy
Tuna muombea ashindwe kwa kura nyingi haswa
Unajisikiaje PhD Tulia Akson kushinda na hakuna NEC Wala ccm,ebu tueleze unajisikiajeKule hakuna NEC-CCM lazima ashindwe
Alikuwa anashindana na Malawi, Somalia na Senegal, hiyo hata hata Manara angeshindaUnajisikiaje PhD Tulia Akson kushinda na hakuna NEC Wala ccm,ebu tueleze unajisikiaje
UWT mmefurahi haswaUnajisikiaje Tulia kushinda Kwa kishindo na hakuna nec Wala ccm