king's lawyer
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 408
- 358
Chezea ngawira weye!Huyu ajuza anasoma saa ngapi? yeye mwenyewe hajui kapitisha nini mara mkataba mara azimio mara mkataba ulishasainiwa, hakuna Spika hapo ni takataka tupu
Wanafunzi anaotamba kuwafundisha chuo kikuu ndo kina Mwijaku?SPIKA wa Bunge, Tulia Akson amewajia juu watanzania waosema bandari imeuzwa na kubainisha kuwa Mtu mpumbavu anazeeka na upumbavu wake...
Kumbe madaraka yanaleta nyodo kiasi hiki?SPIKA wa Bunge, Tulia Akson amewajia juu watanzania waosema bandari imeuzwa na kubainisha kuwa Mtu mpumbavu anazeeka na upumbavu wake...
Mh Spika hapa ametumia maneno makali kidogo. Neno upumbavu huwa ni neno kali mno, japo hata sisi wengine huwa tunalitumia.SPIKA wa Bunge, Tulia Akson amewajia juu watanzania waosema bandari imeuzwa na kubainisha kuwa Mtu mpumbavu anazeeka na upumbavu wake...
Mtu akishiba anakuwa jeuri na kiburi aendelee tu kutukana, hakimu ni MUNGUEndeleeni kutukana Wazee
Bandari za Zanzibar hazimo kwa sababu tayari wamepewa makaburuMwanzo wa mkataba ni lini,mwisho ni lini,maslahi ya Taifa ni yapi,ya mwekezaji ni yapi?lini tutafanya mapitio kuona hali ya wakati huo kama tunahitaji kubadili baadhi ya mambo?Wewe na Prof.Shivji,...
Kwa upeo wake finyu,eti anataka awe Rais wa Mabunge ya Dunia!!!Watanganyika wenye mapenzi mema na nchi yao ni vyema wakampuuza mtu huyu anayeitwa Tulia Ackson, kwa sababu anaonekana hajatulia kichwani
Halafu Kuna mpuuzi mmoja anasema tumuombee huyu spika Ili ashinde urais wa IPU. Mtu mwenye dharau namna hii!!SPIKA wa Bunge, Tulia Akson amewajia juu watanzania waosema bandari imeuzwa na kubainisha kuwa Mtu mpumbavu anazeeka na upumbavu wake...
Nchi inaweza kuwa ipo katika hali salama kwa kuwa hata na wajinga milioni 1 kuliko kuwa na watu wanafiki, waongo na waabudu matumbo yao 10 w asa kiwango cha mtu kama Tulia.SPIKA wa Bunge, Tulia Akson amewajia juu watanzania waosema bandari imeuzwa na kubainisha kuwa Mtu mpumbavu anazeeka na upumbavu wake...
Mene mene tekeli na pelesi!SPIKA wa Bunge, Tulia Akson amewajia juu watanzania waosema bandari imeuzwa na kubainisha kuwa Mtu mpumbavu anazeeka na upumbavu wake...
SawaMwananchi mmoja ni mimi....nimefahamu kuwa mh.Dr Tulia ni mwerevu sana ambaye anafahamu kuwa kuna baadhi ya wazee ni WAPUMBAVU[emoji120]