Dkt. Tulia suala la bandari hata wazee huzeeka na upumbavu wao

wako baba zangu, wako mama zangu, jambo la uhakika kama ambavyo vijana wenye busara wanazeeka wakiwa na busara, kama ambavyo wako watu wenye hekima wanazeeka na wakiwa na hekima na hata wapumbavu huzeeka na upumbavu wao
Yeye anazeeka na Wembamba wake na upumbavu wake
 
Mh. Tulia ni kama amekerwa na namna wakili mwabukusi alivyo ongea na wazee wa Mbeya Siku mbili zilizopita, akiwa Mbeya na kile kinacho one kana kukerwa na uchambuzi wa wakili mwabukusi...
 
Mh. Tulia ni kama amekerwa na namna wakili mwabukusi alivyo ongea na wazee wa Mbeya Siku mbili zilizopita, akiwa Mbeya na kile kinacho one kana kukerwa na uchambuzi wa wakili mwabukusi...
Huyu Naye ni mpumbavu pia
 
Unawatukan waliokufikisha hapo sababu tu wamepinga udalali wenu.
 
Ame
Ameshajibu Jerry salaam!! Au unataka kila anayesimama ajibu huo ujinga wenu? Jerry slaa anatosha kiwahenyesha. Shivji kapigwa za USO na Jerry slaa inatosha sana
 
Huyu naye anaishia kutukana tu badala ya kufafanua utata wa vile vipengere vilivyomo kwenye mkataba.
 
Viongozi wote wa CCM wameshindwa kujibu hoja wote wanaishia kutukana na kuwatisha wale wote wanaopinga mkataba wenye utata wa DPWorld.
 
Sura na shepu ya Tulivu havikuwa na havina ushawishi kwa wahadhiri
 
Hicho kimama kina sura ya kinyonga kina afya chafu ...ukikiangalia kinafanana na zembwela
 
Kulewa madaraka kilevi kibaya.
 
Kama mpaka sasa hujauona mkataba hufai kuwa mtanzania.
 
Siasa inabidi usahau kama kuna Mungu , dhambi na jehanamu.

Sasa Huyu mama anapita kudanganya watu hadharani yaani Inasikitisha mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…