Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

Anasahau
Kwamba neno hilo hilo au jambo hilo hilo akilifanya mwanafunzi wa shule ya msingi Kishumindu litachukuliwa kwa uzito tofauti na linaposemwa au kufanywa na mwanafunzi wa PhD UDSM.
 
Mtaalam, Mbona hatujawahi kuona hizo docs kutoka kwa vijana wabongo zenye hizo basic issues kama unavyosema!
Mbona mifano iko mingi tu
Mfano mdogo tu ni tamthilia ya Jua Kali iko very well shot and produced

Kwahiyo bongo watu wapo sema ndoivo tuu
 
tulianza kupigwa pale tu tulipokubali kukabidhi kijiti kwa huyu msaidizi, kuna mahali tumekwama...tunakula upumbavu wa uamuzi wetu sasa 😀
Akili huna katiba ulitaka isifuatwe?
 
Mbona mifano iko mingi tu
Mfano mdogo tu ni tamthilia ya Jua Kali iko very well shot and produced

Kwahiyo bongo watu wapo sema ndoivo tuu
Mumeanza maupumbavu yenu, vitambulisho vya kitaifa mlisema nida wanaweza miaka kumi sasa hamna kitu, tuondoleeni ujinga hapa.
 
Kukosoa ni sawa ila kuponda kila kitu ni ujinga mpya..

Huyu anaekosoa basi afanye Filamu yake itasaidia
Mpe hizo bilion 9 uone..

Hoja ya Dr Shule ni:

1. Kiwango cha ubora wa filamu vs thamani ya pesa HAVILINGANI. And that's plain truth. Fedha iliyotumika ni nyingi mno. Tumedanganywa...!

2. Filamu hii haiwezi kuwa kigezo cha ku - boost utalii Tanzania. Kwa sbb hakuna jipya lililo kwenye filamu hiyo ambacho hakipo kwenye filamu zilizowahi kuandaliwa na kwa gharama ndogo sana chini ya milioni 100 na siyo mabilioni haya...!
 
Mkuu jibu hoja Za Dr Shule [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ana hoja ipi, huyo ilimradi ampare tu mama.

Sisi tunafahamu hii ni vita ya kidini ambayo haitangazwi. Huyo mama wa ki-Islam hata afanye jema lipi atakosolewa tu. "agenda ya siri". Ilikuwa hivyo hivyo kwa Kikwete.

Hii vita baridi ya udini mbona ipo sana Tanzania haisemwi tu.

Tukumbuke tu, panapofuka moshi panaficha moto.
 
Huyo dada ponda ponda jazz band tu

Ova
 
Dkt.naona hataki kupapaswa vizuri.
 
Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini kulinganisha na gharama iliyotumika.

Hata vijana wetu wa bongo movie wangeweza kutengeneza hii filamu.

Tanzania ilishajitangaza, tusijidanganye kwamba Royal tour ndio itaitangaza Serengeti/Mlima Kilimanjaro.

 
Usiinguze masuala ya kidini kwa watu ambao unajua kabisa sababu kubwa za kumkosoa Samia siyo za kidini.

Wengi wao wale wasio na JEMA, MISUKULE, Wanaharakati pamoja na Wazee wa Power struggle.

Hakuna mtu anamkosoa Rais kwasababu za kidini, kwasababu kwanza Hakuna wakristo wanaweza kukaa eti kutengeneza hoja zenye maslahi ya mwanasiasa wa chama.
 
Hapa ni udini tu, hakuna zaidi. Amini ujuavyo nami naamini nijuavyo.


Kuna hoja ipi ya kukosoa?

Filamu inayokosolewa, kazi ya kuifanyia filamu hiyo tu imeshazalisha Matrilioni, mlikuwa hamfatilii safari ya mama huko USA na mafanikio yepi kayaleta? Huu ni udini tu.
 
Anyway, nakujua vizuri humu mitandaoni.

Binafsi sioni Kama huwa unawasaidia unaowatetea kwa kuingiza hoja za kidini.

Kuna kipindi uliwahi kuingiza hoja za kidini kwa Mbwana Samatta bila hata sababu za msingi
 
Umeongea vyema sana ila jifunze kwenye maneno yako wapi panastahili kuwekwa herufi "h".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…