Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

Mi sina kabisa mzuka wa kuicheki bado nacheki Series ya Power ya Gangsta 50 Cent na Ghost ila nadhani Royal Tour yetu itakuwa nzuri maana wenzangu mmeisifia sana na eti kuna vipande vya kumhusu Mwendazake mmekata kwa wabongo muvi tu wazungu tumeachia wavione coz vina ukakasi!
 
Tatizo wabongo wabishi sn

Watengeneze yao tuone nani ataangalia
Ile movie ina hamasa cz ya hadhi ya Urais na huyo mzungu
wabongo wengi wana roho za kichawi!! hkn aliye wahi kuiwazia wala kubuni! wengine wamebuni wanaumia sana, wanatamani kufa!
 
Sasa miaka yote hiyo mbona hao bongo movie hawajawahi tengeneza ya kwao?
"Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini kulinganisha na gharama iliyotumika, hata vijana wetu wa bongo movie wangeweza kutengeneza hii filamu, Tanzania ilishajitangaza, tusijidanganye kwamba Royal tour ndio itaitangaza Serengeti/Mlima Kilimanjaro" Dkt.Vicensia Shule
👇

 
Hii ni Maka;a sio Movie za kibiashara za Holywood, kwa hiyo kwa kiwango iliyotengenezwa nayo sioni hoja ya msingi kuhoji ubora.

Kama ni suala la Bajet nadhani linaendana zaidi na Mazingira na aina ya Muhusika Mkuu ambye ni Mkuu wa nchi asiyelazimika kufuata ratiba yenu bali mara nyingi nyie ndio mtafuata ratiba yake....kwa watu wa production watanielewa.
 
Back
Top Bottom