Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Ninakubali. Sidhani huyu Dkt Vicencia ameelewa filamu hii. Kijana gani wa Tz angeweza kuhakikisha filamu yake itaonyeshwa kwenye vituo vikubwa vya runinga Marekani, na kutoka huko kunakiliwa kwa nchi nyingi?Ninacho kijua mimi ni kwamba lengo la mama samia wala halikuwa ubora bali ilikuwa ni kutafuta connections na watalii, kama ingekuwa ni ubora hata nisher angetoa tu kitu quality sana ila sasa kinaenda vip kwa walengwa ndio swala lingine.
Maana yule mtayarishaji Peter Greenberg amebuni fomati hiyo ya "Royal Tour" alitangulia kupiga filamu hizo huko Jordan (akiongozana na mfalme Abdallah), Israeli na Newzealand (na mawaziri wakuu Netanyahu na Clark), Mexiko na Rwanda (pamoja na maraisi Calderon na Kagame). Hao wote waliiona kama nafasi nzuri kupigia debe utalii wa nchi zao, labda pamoja na hamu ya kubadilisha kidogo kawaida za mkuuwa nchi.....
Kuhusu Greenberg (mtayarishaji wa Royal Tour) ona hapa na elewa kwamba filamu yake itawafikia watazamanji kwa hakika:
Peter S. Greenberg (born January 20)[1] is an American journalist. He is the CBS News Travel Editor, reporting regularly on The Early Show, its replacement CBS This Morning, and the CBS Evening News. He may be best known as the Travel Editor for NBC's Today, CNBC and MSNBC from 1995 until 2009. Previous to NBC, Peter was Travel correspondent for ABC's Good Morning America from 1988 to 1995. Greenberg is an Emmy Award-winning journalist and television producer in his own right. ...
He also produces and hosts a television series called The Royal Tour which airs on PBS. The series features various heads of state giving Greenberg and viewers a personal tour of their country. It has featured a number of world leaders including New Zealand's Helen Clark, Israel's Benjamin Netanyahu, Abdullah II of Jordan, Peru's Alejandro Toledo, Mexico's Felipe Calderón, Rwanda's Paul Kagame, Poland's Mateusz Morawiecki and Tanzania's Samia Suluhu Hassan. Greenberg was previously the Travel Channel's chief correspondent. (Wikipedia)
(katika uzi mwingine niliona jibu zuri kuhusu hoja "hatuhitaji filamu kutangaza utalii wetu, dunia yote inafahamu Kilimanjaro". Mtu alijibu "Nani hajasikia jina la Coca Cola, mbona wanaendelea kulitangaza"?