Dkt. Wilbert Kleruu - Utata wa kifo chake, historia na maisha yake

Dkt. Wilbert Kleruu - Utata wa kifo chake, historia na maisha yake

Mwandindi alipinga udikteta labda kama shujaa wa kupinga udikteta.
 
Dr Kreruu inavyosemekana alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke mdogo wa Mwamwindi, na baada ya Mauaji matajiri wote walitawanyika kwa hofu ya kukamatwa na kipindi kile kuwa tajiri ilikuwa ni dhambi
 
Kwa upande wa serikali na wale wote wenye mamlaka, atatambulika kama mhalifu! ila kwa upande wake yeye mwenyewe, jamii yake na wale wote wanaopinga ubabe usio wa lazima wa viongozi wa serikali; ataendelea kuonekana/kutambulika kama shujaa.
 
Sasa kumuua mwanasiasa asiyekuwa na silaha ni ushujaa?

Kuna siku utatangaza aliyemmiminia Tundu Lisu risasi ni shujaa kwa namna ulivyo mbwiga!
 
Ingekuwa enzi za Mwamwindi Bashite angekuwa ameshashikishwa adabu! Nyoko kabisa Mzee Mwamwindi my hero!
 
kleruu alikuwa pia na binti tulikaa naye mitaa ya daimond jubilee,upanga nakumbuka tulikuwa tunamwita mama twambi,unfortunately binti wa huyu mama,TWAMBI,perished in the fire iliyotokea katika boarding school kilimanjaro some years ago
Hiyo shule itakuwa Shauritanga ambayo wakati huo miaka ya 1994 ilikuwa ya wasichana tupu na iliungua kwa moto wakafariki idadi kubwa san ya wanafunzi bila kujulikana chanzo sahihi, kwa sasa ni shule ya jinsia mchanganyiko.
 
Kuna jambo la kujibu hapo?

Huyo mhehe kwenda kumuua mchagga wa watu tena siku ya sikukuu ndio Chadema mnamuona ni shujaa.....wakati mchagga alikuwa hana nia ya kudhulumu chochote!!
Swala sio uchaga.. swala sio uchadema.. swala Zima ni kwamba, kleruu alikuwa mdwanzi Sasa akayakanyaga kwa mhehe asiefagilia unyonge akamnyoosha mchana kweupee... R.i.p mwamwindi
 
Back
Top Bottom