Dkt. Wilbert Kleruu - Utata wa kifo chake, historia na maisha yake

Dkt. Wilbert Kleruu - Utata wa kifo chake, historia na maisha yake

Mimi nasubiri kujua
1.je zamani watu waliruhusiwa kuwa na bunduki( gobore )? Kwanini
2.risasi aliyopigwa Dr.Kleruu,ilikuwa upande upi wa mwili na sababu kuu ilikuwa nini ?
3.inaonyesha Nyerere alimkubali mzee Mwamwindi,sababu gani?
4.sababu gani ilimfanya Nyerere aliweza kujibu maelekezo ya mzee Mwamwindi( kuwaachia wale wazee waliopelekwa sehemu nyingine za nchi) kwa muda mfupi?
5.je kuna mmoja wa wazee hao aliyekuwepo mwenye kutoa ushuhuda walipewa adhabu gani kwa sababu zipi? Wakati hawausiki.
 
18033272_10211109758912620_1414846933078376879_n.jpg


Ikulu Ndogo Ya RC Dr Kleruu Ni Kama Alivyoiacha Desemba 25, 1971..
Pichani ni picha nyingine ikionyesha nyumba ya aliyekuwa RC wa Iringa Dr Kleruu Inavyoonekana kwa nje.
Hapo kuna kumbukumbu ya uwepo wa geti la kuingilia, na bila shaka kulikuwa na walinzi. Kuna wenye kuhoji, kuwa Jumapili ile ya mkasa, Desemba 25, 1971, ilikuwaje RC Dr Kleruu alitoka Ikulu ndogo na kwenda kijijini Mkungugu, Isimani kwa Mkulima Mwamwindi bila mlinzi wala dereva wake?
Utafiti wangu unaonyesha, kuwa Dr Kleruu alikuwa na mazoea hayo, hasa siku za wikiendi. Kutoka bila walinzi na kuendesha gari mwenyewe. Mara nyingine alionekana mjini akitembea kwa miguu.
maggid.
 
Kama Umeamua kuelezea kitu Basi acha longolongo nenda straight na Kama huwezi acha kabisa kuelezea
 
Kwa kifupi alikua kreluu alikua bashite wa enzi hizo, labda yeye hakua na vyeti feki tu
 
Mwambieni Bashite asome hii historia, wapo Saidi Mwamwindi bado
 
kumbe Said Mwamwindi alinyongwa then?
Aseee alinyongwa dodomaa mwaka skumbuk ilaa mtt wake huyooo ambaye n meya mstaafu wa iringa aliwahi kusimulia mkasaa huu wotee kipindi hicho alikuwa mdg siwez tena na mm kuandka humu ila dogo aliruhusiwa kwendaa dom gerezan kuagana na baba ake ana kwa ana na alirud iringa akiwa new human being (full heart of revenge) nazan walimtuliza waunggwana then
 
Back
Top Bottom